Michael_03 Member Joined Feb 18, 2016 Posts 19 Reaction score 21 May 2, 2023 #1 Habari wana jamii, mi ni ndugu yenu mpya, naomba mnipokee Lakini pia ni job seeker, kwa yeyote mwenye connection ya kazi au anaweza kunisaidia kwa namna yeyote naomba tuwasiline.
Habari wana jamii, mi ni ndugu yenu mpya, naomba mnipokee Lakini pia ni job seeker, kwa yeyote mwenye connection ya kazi au anaweza kunisaidia kwa namna yeyote naomba tuwasiline.
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,701 Reaction score 13,672 May 3, 2023 #2 Karibu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT ufaidi.
Michael_03 Member Joined Feb 18, 2016 Posts 19 Reaction score 21 May 3, 2023 Thread starter #3 Ulimakafu said: Karibu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT ufaidi. Click to expand... Asante sana
The Garang JF-Expert Member Joined Jan 16, 2018 Posts 2,892 Reaction score 4,870 May 3, 2023 #4 Job seeker kwa job gani?? Kama unaweza kukimbia na tv usiku nicheki
Michael_03 Member Joined Feb 18, 2016 Posts 19 Reaction score 21 May 3, 2023 Thread starter #5 The Garang said: Job seeker kwa job gani?? Kama unaweza kukimbia na tv usiku nicheki Click to expand... π π π
The Garang said: Job seeker kwa job gani?? Kama unaweza kukimbia na tv usiku nicheki Click to expand... π π π
Michael_03 Member Joined Feb 18, 2016 Posts 19 Reaction score 21 May 3, 2023 Thread starter #6 Michael_03 said: π π π Click to expand... Mi HR Mkuu, ila issue ya ajira imekua ngumu, kwahyo sichagui kazi, ila sio wizi
Michael_03 said: π π π Click to expand... Mi HR Mkuu, ila issue ya ajira imekua ngumu, kwahyo sichagui kazi, ila sio wizi
The Garang JF-Expert Member Joined Jan 16, 2018 Posts 2,892 Reaction score 4,870 May 3, 2023 #7 Michael_03 said: Mi HR Mkuu, ila issue ya ajira imekua ngumu, kwahyo sichagui kazi, ila sio wizi Click to expand... Sawa kaka
Michael_03 said: Mi HR Mkuu, ila issue ya ajira imekua ngumu, kwahyo sichagui kazi, ila sio wizi Click to expand... Sawa kaka
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,359 Reaction score 108,501 May 4, 2023 #8 Karibu sana JamiiForums...
Shadow7 JF-Expert Member Joined Sep 28, 2020 Posts 33,805 Reaction score 55,613 May 7, 2023 #9 Karibu sana mkuu