Poooleee. Njoo kwangu na usiwatambulishe, na hata kama ukiwatambulisha nitawapotezea tu.Hivi kwa nini unakuta marafiki wanaharibu mahusiano ya kimapenz kati ya watu 2, mfano rafik Yang anamfata boyfriend wangu anamjaza maneno either ya ukweli ama uongo hiv anakuwa anataka nini haswa!! Uhusiano wangu umevunjika sababu ya marafik zangu kumjaza maneno mtu Wangu, inauma sana aisee ukimgeuzia kisongo anakung'onga huyu rafiki
Haaaaahaaa labda kwi kwi kwi ila hamnaga alama nyie
Hivi kwa nini unakuta marafiki wanaharibu mahusiano ya kimapenz kati ya watu 2, mfano rafik Yang anamfata boyfriend wangu anamjaza maneno either ya ukweli ama uongo hiv anakuwa anataka nini haswa!! Uhusiano wangu umevunjika sababu ya marafik zangu kumjaza maneno mtu Wangu, inauma sana aisee ukimgeuzia kisongo anakung'onga huyu rafiki
Nawewe ulikuwa unafanya hivyo (kwenye bold nyekundu)Ridhiki ya mwenzio usiilalie mlango wazi marafik hutaman sana nao kupata kile ukipatacho ila kina kuna sababu 2, moja labda msichana mwenyewe anajiproud kwa marafik zake jinsi anavyohudumiwa na rafiki naye anaingia tamaa ya kutaman na pili labda tabia tu ya mtu kuiba iba Mali za watu
ina maana mashost zangu wa pale böndeni wameonja? ah!@Window7 utaniua jaman mwenzio.Me hua nafahamu rafiki wa gf wangu wanakuja tu kuonja nini rafiki yao anapata. Baada ya hapo sina habari nao nabaki njia kuu. Your bf hakajui haka ka-trik ndio mana kazamia huko.