Mkuu, ni kweli tupu! Nakumbuka issue yake mojawapo; alisherehekea kifo cha Nyerere na kushtakiwa! Yeye alijibu kwamba kwa muda mrefu amemuoba Mungu wake Nyerere afe, nyie mlikuwa mnamuomba Mungu wenu apone Mungu wangu amenijibu amekufa! Hivyo siwezi kuwa mnafiki budi nisherehekee! Kilicho tokea mahakama badala ya kujibu hoja ikaamuru Mtikila apimwe akili yake kama ipo sawa!Mi sijawahi kumuona namsikia kupitia media lakini huyu jamaa ni mtu anaesimamia vitu anavyovijua na kuviamini kuna wachungaji wachache sana ambao huwa wana misimamo kama ya huyu jamaa. ni makini kwa misimamo yake ebu wachungaji wengine fuateni mazuri ya Mtikila ni kichwa, sio kuyumbishwayumbishwa tu.
- :frusty:
Mkuu, ni kweli tupu! Nakumbuka issue yake mojawapo; alisherehekea kifo cha Nyerere na kushtakiwa! Yeye alijibu kwamba kwa muda mrefu amemuoba Mungu wake Nyerere afe, nyie mlikuwa mnamuomba Mungu wenu apone Mungu wangu amenijibu amekufa! Hivyo siwezi kuwa mnafiki budi nisherehekee! Kilicho tokea mahakama badala ya kujibu hoja ikaamuru Mtikila apimwe akili yake kama ipo sawa!
Mkuu, Sikumbuki ni mwaka gani Lakini alishtakiwa kwa kesi ya kuwagomea police kuweka alama za vidole! Siku ya kesi alimuuliza mwendesha mashtaka ni kwa muda gani ukiweka alama za vidole zinaxpire mwendesha mashtaka akawa hajui! Ndipo Mtikila akamsaidia kujimu kwamba ni miaka 100 na kumpa rejea, ndipo alipomjulisha kuwa nimesha chukuliwa alama za vidole dodoma, msimbazi.... Zimexpire lini mpaka mchukue nyingine?Kesi ikaisha kwa ushindi wake!kesi yake ya mwaka 1992 alishinda kirais; aliuliza hivi; wakati gani uliniona kikiwa kwenye gari? Shuhuda nikuwa mita 6; gari lilikuwa linasukumwa na watu wangapi S. Kama kumi; walikuwa wakiimba mtikila mtikila; Akageuka kwa hakimu akimu naomba tutoke nje litafutwe gari lolote uingie na watu kumi wakusukume na mtu huyu akae mita sita alafu shuhuda aimbe mtikila mtikila, akimu akafanya hivyo, shuhuda akaulizwa kwa umbali wako unaweza kuona mtu aliyendani ya gari ? s. hapana , je wewe ulipoimba mtikila mtikila uliimanisha kuwa ndiye aliyeko kwenye gari s. hapana, kesi ikaisha hivyo kwamba waliokuwa wanaimba ni kwa furaha yao wala hakuwepo yeye.
Sina haki ya kuhukumu kiumbe dhaifu yale niliyo yaona kwake ndio ninachokishuhudia!Ahaaahaaaa mkuu ujamjua huyoo niulize mienilikuwa nasali nae kanisa moja pale shule ya jamhuri mpwa ..sasa basi pastor wa lile church linaitwa fullsalvation church akaanza kwenda marekani kila mwaka mara mbili mpaka tatu akisema amepata wadhamini wakanisa akawa akija anakuja na plan za makaratasi kanisa litakuwa hivi miradi itakuwa hivi..nk sas basi wakshangaaa mbona anaendelea kwend anje anarudi asemi ameleta nini...akanzisha mapinduzi ndan ya kanisa akahamia shule ya uhuru nae akajiita mchungaji...baada ya mud alile kanisa mchungaji akabadilisha jina likaitwa foundation ya mtu kule marekani ijulikanayo ark foundation church unaweza google arkfoundation ...washarika wakashtuka mbona hivi frm fullsalvation church -arkfoundation gafula watot wa pastor wakaishia wote marekani loh kanis likaishia hapo wakahamia kwa mtikila ....alipoaribu kule ni pale mweka hazina wa kanisa alipoteua ndg gojia yaani mkewe hapo ndipo watu wakakimbia maana hata kanisa walilohama mweka hazina alikuwa mchungaji na ukisikika unaongelea uchaguzi unafukuzwa na yeye kanisa lake likafia hapo mwosha uoshwa