Baraka Roman
JF-Expert Member
- Feb 16, 2013
- 692
- 262
Mi niliua mara ya mwisho
Ndo lin sasa ulipigana?Kupigana is so last century...eew
mara ya mwisho nimefululiza kupewa kichapo.....
nimepigana na kaka angu kanipiga, kesho yake nikapigana na mdogo angu akanipiga the same week kadogo flani kakamuonea mdogo angu, kudadadeki nkajifanya kijike nkavua shati la shule kupigana nilipewa kibao kimoja tu cha mgongo nkarudi home nalia kamasi zinanitoka aaaggghhh sijapigana tena tangu siku hiyo.......
Leo, ila nimeshindwa kwa Knock out.. Yule Bazazi aliniminya **mbu nikashindwa kuvumilia nikabwaga manyanga..
Mi niliua mara ya mwisho