Mara ya mwisho umepigana lin?na ulipigwa au ulipiga.

toka mwaka uanze nimepigana mara 25!!!!nimepigwa mara 24!pambano la mwisho ilikuwa leo asubui ambapo nimeambulia droo!mapambano yote hayo 25 nimepigana na mke wangu!
 
Mwaka 1907 vita ya maji maji

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Duh mkuu huyo mkeo ana undugu na cheka?

Ebu itumie hiyo kama fursa uwe promota wake wa ngumi za kulipwa!

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Mara mwisho ilikuwa wakati na miaka 13 uswazi buguruni si unajua ngumi za uswazi hamna kuamulia da tulipigana mimi nipo peke yangu wao wapo 3 nilipewa kibano wakaenda kunitupa kwenye jalala la taka nilitoka ma branch usoni aka manundu maza akikanda hili linaumuka jingine kesho yake nikawavizia nikamlima mmoja reki la mgongo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom