Mara ya kwanza kuwekwa lovebites

Mara ya kwanza kuwekwa lovebites

Dibo10

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
1,328
Reaction score
1,631
Salaam Wakuu

Bila kupoteza muda twende kwenye mada moja kwa moja. Je unakumbuka siku ya kwanza kuwekwa lovebite na mwenza wako? IIitokea kwa makusudi au kwa bahati mbaya? Je ulitambua wewe mwenyewe binafsi kuwa umewekwa lovebite au kwa kuambiwa? Ulijisikiaje ulipojua una alama ya kung`atwa kihuba mwilini mwako? Je wapo wenye kufurahia lovebites au ni moja ya kero kwa wapendanao?
 
Mimi nikajua lovebites ni wadudu wapya wamevumbuliwa wanaong'ata watu duuuuh.
😱😕😡🙄😵
 
Back
Top Bottom