MILCAH28
JF-Expert Member
- Jul 9, 2014
- 1,140
- 328
Nilienda dukani,nikakutana na
mrembo anayeuza hapo dukani,nikawa
naona aibu kusema nataka kununua
condom,akagundua mwenyewe na
kuniambia unataka salama eeeh?
nikasema ndiyo,akaniambia unataka
pakti ngapi?nikamwambia mbili yenye
condom tatu kila moja (jumla condom
6),aliniona sijawahi ku-do,akaniambia
unafahamu kweli jinsi ya kutumia
salama?,nikamwambia
hapana,akafungua pakti na kuifungua
salama moja,akaanza kunionyesha
jinsi ya kuvalisha,akaanza kuivaalisha
kwenye kidole chake cha gumba na
kunieleza kwamba unavalisha
hivi,bado akaniona nashangaa
tu,akaniambia hivi ushawahi kweli
kusex?nikamwambia hapana,sijajaribu
hata mara moja,akaniambia njoo ingia
humu nyuma ya shelfu nikuonyeshee
jinsi ya kutumia salama,akafunga
mlango,akaniambia nivae kama
alivyonielekeza,nikaanza kuvaa,duh si
akalala chali,akaniambia fanya hivi na
hivi,baada ya up and down kama kumi
nikasikia kitu hicho tse tse tse tse tse
tse,tse.Si akaruka juu na kunisukuma
na kusema ""weeh! mbona nahisi
unyevu flani umevaa kweli salama?
nikamwambia nimevaa kwenye kidole
gumba kama ulivyonielekeza.
Now wiki ya 3 anasema anahisi
mimba,jamani nifanyaje sijapanga
kumwoa!
mrembo anayeuza hapo dukani,nikawa
naona aibu kusema nataka kununua
condom,akagundua mwenyewe na
kuniambia unataka salama eeeh?
nikasema ndiyo,akaniambia unataka
pakti ngapi?nikamwambia mbili yenye
condom tatu kila moja (jumla condom
6),aliniona sijawahi ku-do,akaniambia
unafahamu kweli jinsi ya kutumia
salama?,nikamwambia
hapana,akafungua pakti na kuifungua
salama moja,akaanza kunionyesha
jinsi ya kuvalisha,akaanza kuivaalisha
kwenye kidole chake cha gumba na
kunieleza kwamba unavalisha
hivi,bado akaniona nashangaa
tu,akaniambia hivi ushawahi kweli
kusex?nikamwambia hapana,sijajaribu
hata mara moja,akaniambia njoo ingia
humu nyuma ya shelfu nikuonyeshee
jinsi ya kutumia salama,akafunga
mlango,akaniambia nivae kama
alivyonielekeza,nikaanza kuvaa,duh si
akalala chali,akaniambia fanya hivi na
hivi,baada ya up and down kama kumi
nikasikia kitu hicho tse tse tse tse tse
tse,tse.Si akaruka juu na kunisukuma
na kusema ""weeh! mbona nahisi
unyevu flani umevaa kweli salama?
nikamwambia nimevaa kwenye kidole
gumba kama ulivyonielekeza.
Now wiki ya 3 anasema anahisi
mimba,jamani nifanyaje sijapanga
kumwoa!