princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 9,657
- 19,274
Kuna game zingine unabetia timu pinzani inapocheza na team yako.kwenye bet ushabiki unaweka pembeni..

anyway.. kuna mtu alinibetiaga kupitia acc yangu Chelsea walicheza sijui na stoke city,kama sio West ham et akabetia stoke

aisee iliniuma kishenzi japo stake ilikua kama jero tu.
Afu mkeka ulivovunjika Akanambia Karibu kwa Muhindi..

bet kama una presha unakufa.. but kwangu mm ni Kama mchezo fulani wa kucheza tu kama rede

anyway.. kuna mtu alinibetiaga kupitia acc yangu Chelsea walicheza sijui na stoke city,kama sio West ham et akabetia stoke

aisee iliniuma kishenzi japo stake ilikua kama jero tu.Afu mkeka ulivovunjika Akanambia Karibu kwa Muhindi..

bet kama una presha unakufa.. but kwangu mm ni Kama mchezo fulani wa kucheza tu kama rede