Tanzania haishi vitimbwi.
Huku wakijua mgombea huyo hana mpinzani hivyo hata usipige kura atashinda tu.
Wajumbe wa mkutano mkuu taifa toka mkoa wa manyara wametangaza kumuunga mkono/kumchagua magufuli kwa kura zote.
Chamzo Tbc/radio:
My take: kama kweli tunabana matumizi kuna ulazima gani wajumbe hawa kwenda Dodoma?!