Mara: Wajumbe wa mkutano mkuu wamuunga mkono Rais Magufuli

Tairi bovu

JF-Expert Member
Sep 28, 2017
3,065
2,982
Tanzania haishi vitimbwi.
Huku wakijua mgombea huyo hana mpinzani hivyo hata usipige kura atashinda tu.
Wajumbe wa mkutano mkuu taifa toka mkoa wa mara wametangaza kumuunga mkono/kumchagua magufuli kwa kura zote.
Chamzo Tbc/radio:
My take: kama kweli tunabana matumizi kuna ulazima gani wajumbe hawa kwenda Dodoma?!
 
Tanzania haishi vitimbwi.
Huku wakijua mgombea huyo hana mpinzani hivyo hata usipige kura atashinda tu.
Wajumbe wa mkutano mkuu taifa toka mkoa wa manyara wametangaza kumuunga mkono/kumchagua magufuli kwa kura zote.
Chamzo Tbc/radio:
My take: kama kweli tunabana matumizi kuna ulazima gani wajumbe hawa kwenda Dodoma?!
Mara na manyara wpi na wapi? Acha mihemiko..
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom