Tairi bovu
JF-Expert Member
- Sep 28, 2017
- 3,063
- 2,983
Tanzania haishi vitimbwi.
Huku wakijua mgombea huyo hana mpinzani hivyo hata usipige kura atashinda tu.
Wajumbe wa mkutano mkuu taifa toka mkoa wa mara wametangaza kumuunga mkono/kumchagua magufuli kwa kura zote.
Chamzo Tbc/radio:
My take: kama kweli tunabana matumizi kuna ulazima gani wajumbe hawa kwenda Dodoma?!