Kama ni hivyo waache hiyo gas itumike Tanzania nzima.
Duu...! Kwishney NyamongoMkuu dhahabu ya Nyamongo ilishaisha/au kupungua kwa kiasi kikubwa sana yani wana MARA wakiiomba watapewa mara moja bila zengwe lolote,,,,,,,,,,,,chezes gas ya Mtawra weye
Kwa vile sasa hivi kila watu wameanza kudai rasilimali zilipo kwenye eneo lao na sisi wana Mara tunataka dhahabu yetu ili tuwe wa kwanza kunufaika nayo kwanza.
Kwa vile sasa hivi kila watu wameanza kudai rasilimali zilipo kwenye eneo lao na sisi wana Mara tunataka dhahabu yetu ili tuwe wa kwanza kunufaika nayo kwanza.