Mara paah! Lissu kashinda Urais 2020. Je, watakimbia nchi?

KENZY

JF-Expert Member
Dec 27, 2015
14,057
2,000
Bado siwaamini wanasiasa maana hata huyo wanaemuita jiwe alikuja kutubadilikia hewani!!
Sasa kwa lisu badala ya kuhangaika na matatizo ya nchi naona nguvu zake kubwa ataelekeza kwenye visasi kitu kinachoweza kuja kuleta madhara makubwa kwani itakuwa urais wa visasi na mibwabwajo.. sidhani mtu huyu kama ni mtendaji mzuri!
 
omari londo

JF-Expert Member
Feb 18, 2015
1,809
2,000
Mpiga kura siyo watangazaji wa bbc wala voa mpaka Lisu ashinde urais!

Wakati mwingine muache ujinga, wapiga kura ni hao unaokutana nao kila siku huku mtaani, sasa jiulize je wanataarifa zozote kuhusu Lisu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa unavyojidanganya sasa

Kwa taarifa yako tuu ccm haijawahi kushinda uchaguzi mkuu bali hutumia polisi na tume kujitangaza

Yote yanawezekana na hakuna lisilowezekana siku yatajapo badilika utabadili na hii I'd yako utajiita cream kama badala ya Crimea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kalamu1

JF-Expert Member
Jul 7, 2018
6,978
2,000
jiulize mwenyewe risasi 30+, halafu Lissu 2020 akashinda kama upepo unavomuelekea kuna watu watakimbia nchi ( wasiojulikana) watajulikana.

let us pray for Lissu apone haraka.
Hili jambo linafikirisha sana.

Hivi kuna siri isiyojulikana ambayo itasababisha upinzani washinde uchaguzi?

Hata kama wapiga kura wangetaka iwe hivyo, hivi kweli kwa hali ilivyo nchini kunawezekana pakawepo nafasi ya wapinzani kushinda?

Natamani sana kujua matumaini haya yanatokana na nini.

Hivi si tumeshuhudia chaguzi hizi ndogo ndogo zilizofanyika kuwachagua wabunge walionunuliwa kwa bei mbaya? Kuna kitu gani kitakachofanya uchaguzi huo mkuu uwe tofauti na hizi ndogo.

Siri hii ndiyo ninayoomba kuifahamu. Au kwa kuwa ni siri itabaki kuwa hivyo? Hata 'hint' tu kutupia hapa haiwezekani?
Haya sawa!
 
Charles Dotter

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
2,199
2,000
Mpiga kura siyo watangazaji wa bbc wala voa mpaka Lisu ashinde urais!

Wakati mwingine muache ujinga, wapiga kura ni hao unaokutana nao kila siku huku mtaani, sasa jiulize je wanataarifa zozote kuhusu Lisu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwajinsi navyo ona Lissu ameucheza na anaucheza mchezo nje ya box kwanza,....Mikheil Saakashvili wa Georgia nae alifanya kama hivi, Juan Guaido pia alicheza mchezo kama huu. Hapa anachokifanya Lissu ni ku mobilizeexternal support then ndo aje ndani. Changes will come from out side if inside factors remain constant.
Maduro anajua hii kitu, alisema kama unavyo sema kuwa wananchi wanamsapoti. but now anakubali warudie uchanguzi. so huyu lissu sio wa kumbeza maana hakuna mwanasiasa hata mmoja wa TZ aliyeweza kugundua kudeal na utawala kwa kutumia outside force njia ambazo vibaraka wa CIA wengi wamekuwa wakiitumia,
Tuombe mungu asitupeleke huko anapotaka twende. i hope mungu atasaidia
 
Crimea

JF-Expert Member
Mar 25, 2014
11,809

Mkuu, umetoa mifano ambayo ukilinganisha na bara letu la afrika ni tofauti kabisa kama mbingu na ardhi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Crimea

JF-Expert Member
Mar 25, 2014
11,809
2,000
Hili jambo linafikirisha sana.

Hivi kuna siri isiyojulikana ambayo itasababisha upinzani washinde uchaguzi?

Hata kama wapiga kura wangetaka iwe hivyo, hivi kweli kwa hali ilivyo nchini kunawezekana pakawepo nafasi ya wapinzani kushinda?

Natamani sana kujua matumaini haya yanatokana na nini.

Hivi si tumeshuhudia chaguzi hizi ndogo ndogo zilizofanyika kuwachagua wabunge walionunuliwa kwa bei mbaya? Kuna kitu gani kitakachofanya uchaguzi huo mkuu uwe tofauti na hizi ndogo.

Siri hii ndiyo ninayoomba kuifahamu. Au kwa kuwa ni siri itabaki kuwa hivyo? Hata 'hint' tu kutupia hapa haiwezekani?
Haya sawa!
Mkuu shida ya upinzani ni kuweka tumain kwa mtu mmoja, anza kwa Slaa, akaja Lowassa na sasa Lisu.

Jamaa ni kama hawaelewi kinachofanya mtu ashinde.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom