Fedor von Bock
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 2,321
- 2,149
Mkuu, umetoa mifano ambayo ukilinganisha na bara letu la afrika ni tofauti kabisa kama mbingu na ardhi
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu Crimea wanasema shetani na kifo huja kipindi ambacho mwanadamu hatotegemea. hata ndugu zetu wa rwanda na burundi hawakutegemea but shetani alimuingia charismatic leader mmoja wakajikuta matatani. Somalia pia hivyohivyo na africa ya kati pia vivyo hivyo.Kwa ninavyoona na kusikia wakati huu hatupo salama tena mkuu. tuendelee kumuomba mungu.