okoyoko
JF-Expert Member
- Jun 15, 2014
- 2,664
- 3,631
Hellow,
Nimekuwa nikiona threads nyingi zinajitokeza humu mmu za wanaume wakilalamika mara demu flani nahisi ananichuna, mara flani mbona kaniacha, mara wanawake hawana shukrani, kumbe sometimes shida ni sisi wenyewe, bora utafute demu ambae ni wa kawaida lkn anakupenda na kukupa treatment unayoi-deserve.
Kumfukuzia demu kwa miezi 12, ili umpate hlf ukajisifie kwa machiz kuwa una demu flani au pale ushapita, sio ujanja
The end