MARA: Mbunge wa Serengeti(CHADEMA), Mwl Marwa Ryoba Chacha ajivua uanachama na kujiunga CCM

Jamaa kagundua kua hata uchaguzi ukiitishwa Chadema watasusia atapita bila kupingwa.

Tubadili katiba, kama mtu anataka kuhama chama ahame bila kutuingiza kwenye hasara za uchaguzi.

Nchi hii bado masikini, vipaumbele ni vingi sana, pesa iende kwenye mambo ya msingi na sio kila siku ni uchaguzi.

By t way kuna majimbo zaidi ya 150 ya yanayoongozwa na ccm toka 2015, wabunge wake wanaunga mkono CCM since then, sioni tofauti yake ya maisha na majimbo yasiyo ya CCM. Kuunga mkono au kutounga sijaona tofauti.

Tufanye wabunge wote wa upinzani waunge mkono jitihada za rais, je itabadili hali yetu ya maisha na kua mazuri zaidi, Tanzania itaanza kutiririka maziwa na asali? Kwamba kutokuunga mkono ndio kunazuia hayo?

Mwalimu alipambana na matatizo kama ujinga, maradhi, nk lakini hili la ujinga bado ni tatizo. Mtu anasema akiunga mkono analeta maendeleo, mbona maendeleo hayapo kwenye wabunge ambao ni wa ccm toka 2015?
Hii ni siasa na lazima ujue nature ya siasa za afrika zilivyo. Chadema wanabeza sana na kukejeli watu wao 'kununuliwa' BT laiti ingekuwa wanatoka ccm na kwenda chadema story ingekuwa tofauti kabisa! Chadema imemshawishi Maalim Seif kujiunga nao kwa ahadi ya kumpa agombee urais Zenji,hii ina tofauti gani na kinachofanywa na ccm????

'Upinzani unaotegemea makosa ya ccm pekee hauwezi ku-sustain siasa za Magu'
 
Jamani tuache UCHAMA kabisa,
Mtu akiamua kuhama Chama huo ni uamuzi wa Hiari na sio lazima,hakuna haja ya Kulalamika kabisa.
Hilo ni chaguo lake mwenyewe,kwani nyie CHADEMA hamwezi kupata watu wengine wazuri zaidi ya Hawa wanaenda Chama Kingine.
Unaongea kama hauko Tanzania jiulize kinachotokea kwenye chaguzi figisu kwa mawakala na ubabe wa polisi rejea sherehe ya makonda na polisi na onyo walilopewa wakurugenzi wa halmashauri ambao ndio wasimamizi wa hizo chaguzi kuwa ole wao atakae mtangaza mpinzani kashinda.Siasa za nchi hii ovyo sanaaa.
 
Hii nimeinasa jikoni kabisa kutoka chanzo changu cha kuaminika!Picha iko hivii,huyu jamaa ameombwa atulie pembeni na asigombee uchaguzi wa marudio huku akitafutiwa fursa nyingine taratibu!
Hii ni kuzima hisia za wanaccm ambao wanaona kila anayeunga mkono juhudi anakula shavu immediately!

Hakuna alie juu ya Mwenyekiti kwa sasa ,hao Wanachama watakuwa Wanachama Bendera tu.Maamuzi yote yanatoka kwa mungu wao.
 
Who cares? Gone are days of dirty politics,this stupidity of changing political party then u come to run for the same seat while in another political party will never bring food on the table of common mwananch,Political leaders are very disgrace to their poor voters, There is no need to stand in a long cue and vote for these cheap brainwashed and Power hunger leaders, These people are one of many reasons this country is poor, Magufuli why have u allowed this new fashion of squandering taxpayer money in these fruitless elections???
 
Nachokiona ni chadema kujifanya chama cha Malaika. Wao hawakosei hata kidogo ndio maana kila upumbavu unaofanyika huko wanaangaika kutafuta mchawi nje.Mchawi wa chadema ni chadema wenyewe, inakuaje mtu ajiuze?Kwanini wanashindwa kujiuliza ni viongozi wa aina gani wako huko chadema zaidi ya kuja na hoja za kijinga eti ccm inawanunua?Huko chadema ni soko la watumwa?Huko chadema ni viongozi gani hadi saizi wako sokoni wanasubir mnunuzi afike bei?
 
polepole atakumbukwa kama katibu mwenezi wa ccm aliyesimamia ununuaji wa wabunge na madiwani wa upinzani ili wajiunge na ccm. mbaya zaidi upotevu huu wa mabilioni yeye haumuumizi kamwe....
 
Haya msikilizeni hapa mjue unafiki wa Wanasiasa ,hapa ni pale Madiwani walipo jiuzulu kuunga Mkono Juhudi za Mh Malaika.
 
Attachments

  • AUD-20180928-WA0006.mp3
    2.4 MB · Views: 21
Hili ni funzo kwa vyama vya upinzani 2020 wapitishe wagombea wenye uwezo na nia ya kutoa upinzani wa kweli. 2015 hapana shaka uteuzi/mchujo haukua mzuri matokeo yake ndio unapata watu wa sampuli hii.
 
Hili ni funzo kwa vyama vya upinzani 2020 wapitishe wagombea wenye uwezo na nia ya kutoa upinzani wa kweli. 2015 hapana shaka uteuzi/mchujo haukua mzuri matokeo yake ndio unapata watu wa sampuli hii.

Hivi wewe unapokaa hapo unaona wanasiasa watz wanakupigania wewe Au maisha yao. Amka wewe.
 
Who cares? Gone are days of dirty politics,this stupidity of changing political party then u come to run for the same seat while in another political party will never bring food on the table of common mwananch,Political leaders are very disgrace to their poor voters, There is no need to stand in a long cue and vote for these cheap brainwashed and Power hunger leaders, These people are one of many reasons this country is poor, Magufuli why have u allowed this new fashion of squandering taxpayer money in these fruitless elections???
Because no body cares, it appears that he is shamelessly happy with this stupidity.
 
Nachokiona ni chadema kujifanya chama cha Malaika. Wao hawakosei hata kidogo ndio maana kila upumbavu unaofanyika huko wanaangaika kutafuta mchawi nje.Mchawi wa chadema ni chadema wenyewe, inakuaje mtu ajiuze?Kwanini wanashindwa kujiuliza ni viongozi wa aina gani wako huko chadema zaidi ya kuja na hoja za kijinga eti ccm inawanunua?Huko chadema ni soko la watumwa?Huko chadema ni viongozi gani hadi saizi wako sokoni wanasubir mnunuzi afike bei?
Mbona wanaohama hawalalamikii internal administration ya chama wanasema sababu kuu ni kuunga mkono ?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom