Mapya ya ‘awamu ya sita’!

Hizo itifaki zimeandikwa wapi?
Ni mambo ya shule hayo brother diplomasia naona mmekutana mnakubaliana vitu msivyovijua sipo upande wa Mama ila mnashangaza eti Balozi akiandika barua ya kuacha kazi basi ndio imetoka hiyo yaani wateuzi wake hawatakiwi kufanya kitu aisee na wewe ni msomi kabisaa unaandika hivyo sasa ndugu zetu tuliowaacha Namtumbo huko itakuaje?
 
Daaah mm pia nilishangaa mno kumfuta kazi mtu alie acha kazi. Hii ndio tanganyika ya chura a.k.a Dalali.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Mkuu, maamuzi na maono ya Mfalme Mangungo ndiyo alama kubwa na ya kipekee ya utawala huu wa kidwanzi wa CCM.
 
Mambo ya shule gani hayo? Iko wapi hiyo shule? Inaitwaje? Taasisi ya Kujazana na Kuendeleza Ujinga?

Mtu aliyekwishaacha kazi uteuzi wake hautenguliwi.
 
Mambo ya shule gani hayo? Iko wapi hiyo shule? Inaitwaje? Taasisi ya Kujazana na Kuendeleza Ujinga?

Mtu aliyekwishaacha kazi uteuzi wake hautenguliwi.
Mnachojua kuhusu ubalozi ni kwenda kuomba visa tu balozi zipo wazi nenda kaulize utapewa majibu nenda Ubalozi wowote hapa mmejazana wajinga watupu hakuna kitu mnajua kuhusu hilo ukipata jibu njoo hapa sio unajifanya unajua wakati hakuna kitu unajua vitu vidogo tu hivyo na mnaenda chaka...
 
Huyu Robot la akina Kikwete na Rostam, hamnazo kabisa. Yeye anafikiri urais ni kuvaa ushungi, kupaka rangi midomo na kula kungu tu.
 
Hatutaruhusu tena ang'ang'anie madarakani, tutamng'oa kwa nguvu ya umma.
 
Nani mwingine amewahi kutenguliwa uteuzi wake wa nafasi ambayo alishaiacha?

Wapi kwingine duniani imewahi kutokea?

Na dhumuni la kutengua uteuzi wa mtu ambaye keshaacha kazi ni nini?

Mtu keshabwaga manyanga. Keshaondoka kwenye kituo cha kazi, unachokitengua ni kitu gani?

Uhayawani na umajinuni tu!
 
Mama anakwambia deni kubwa sababu linatajwa kwa shillingi?!
 
Shida inaanzia pale wanapotaka kuwaaminisha wadanganyika na dunia kuwa wako vizuri ilhali wamechoka mno.hawataki kusikia ukweli,hawataki kubadirika.hatuwezi kusema chama cha CCM hakijafanya kitu lakini wanapaswa kuzingatia matakwa ya wananchi sio kila jambo kuleta siasa tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…