Mapya ya ‘awamu ya sita’!

Nenda kaharishe hayo mavi tumboni.
 
Ni serikari isiyoongozwa na viongozi, bali wahuni, opportunists, hawana lengo la kuongoza bali kujineemesha tu
 
Mi huwa naishia kucheka tu ninapoona michadema inahangaika namna hii. Anachofurahisha huyu mama ni kwamba huwa hatumii nguvu nyiiingi kujibishana........anajipigia kwenye mshono, anatulia. Minyumbu tangu jana viti havikaliki. Hivi, kwa akili zenu, mnafikiri hajui anachokifanya?!!!!!!!! Kwamba nyie nyumbu ndo wajuaji yaani, au sio?!!😃😃😃
 
Alichokifanya kwenye kutengua uteuzi wa mtu aliyekwishaacha kazi ni nini?
 
Akili ya kiuongozi ya Chura Kiziwi haitofautiani sana na ya Donald Trump. Wote wanathamini sana machawa!
 
Duniani huko wanavunjika sana mbavu
 
Alichokifanya kwenye kutengua uteuzi wa mtu aliyekwishaacha kazi ni nini?
Kwa itifaki za kibalozi unaweza kutangaza kuacha kazi kwa kujiuzuru kama alivyofanya Pole pole na aliekuteua pia anatengua uteuzi wako kwa barua kwa maana anaweza akawa anatamka maneno yake akiwa kwenye hadhi ya Ubalozi wakati kumbe sio ndio maana lazima Rais kufanya alichofanya ila ilitakiwa kutoa hadhi na si kutangaza kumfukuza kazi..
Note yule ni Balozi sio CEO wazee..
 
Hizo itifaki zimeandikwa wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…