Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,890
- 141,553
Yaani hata common sense tu hakuna! Kilichopo ni mihemko tu.Sema kwa Polepole alitakiwa kutoa tamko tu la kuridhia ombi lake la kujiuzulu! Na kama asingetoa tamko la kumkubalia, basi angetoa tamko la kumuondolea hadhi yake ya ubalozi kama angeona anafaidi sana.
Na siyo kumfukiza kazi mtu ambaye alishaandika barua iliyosambaa kwenye mitandao, ya kujiomdoa kwenye nafasi yake.
Thread itamliza Look us mwash wa mbwaNadhani hii serikali inayojiita ya awamu ya sita ina mambo yake ya kipekee sana!
Kwangu, hii serikali, ndo serikali pekee ninayoweza kusema inaongozwa kwa kutumia akili ndogo sana.
Kuanzia juu, katikati, mpaka chini, viwango vya akili vya watendaji wake ni vya chini mno.
Na mifano yake ni mingi sana.
Mtu unaweza kuonyesha mfano wa yule msemaji wa jeshi aliyedai kuwa jeshi la Tanzania ni jeshi la sita kwa ubora duniani, madai ambayo kichekesho.
Mwingine anaweza kuonyesha kauli ya Rais aliposema kuwa Tanzania kiuchumi inafanya vizuri kuliko Marekani. Hii ni zaidi ya kichekesho. Ni kituko cha mwaka.
Tuje kwenye siku ya jana ambapo Rais alipotengua uteuzi wa balozi ambaye alishaacha kazi 🤣.
Labda ni mimi tu ndo ambaye sielewi. Labda ni ukilaza wangu tu.
Hivi inawezekanaje kumfukuza mtu kazi ambayo alishaiacha kitambo? Ni mtindo wa wapi huu?
Ni wapi hapa duaniani ambapo serikali hufukuza watu kazi ambao walishaacha kufanya kazi kwa hiari yao wenyewe?
Sijui nyie wenzangu mnaionaje hii serikali, lakini kwangu mimi naiona ni serikali iliyofilisika kabisa kiakili na kimaarifa.
Tukio la jana la Rais kutengua uteuzi wa Humphrey Polepole, lawezekana likawa ni tukio la kihistoria duniani kote.
Hata Idi Amin sidhani kama aliwahi kufanya hivyo 🤣.
Labda akishaisoma atabubujikwa na machozi 🤣.Thread itamliza Look us mwash wa mbwa
Muda sana ndo upi?Taarifa za jeshi kujimilikisha nafasi ya sita ni za muda sana
Mimi nikikaa na kufikiri huyu Rais akili kisoda huwa anakwenda kwenye Mikutano ya Kikanda na kukaa meza moja na miamba kama Kaguta, Kagame, Ruto, Hichelema na Ramaphosa naishiwa nguvu; nchi hii tumegeuka kuwa kituko hakika. Tunakubali vipi kuongozwa na hii 🚮🚮🚮🚮 ?Nadhani hii serikali inayojiita ya awamu ya sita ina mambo yake ya kipekee sana!
Kwangu, hii serikali, ndo serikali pekee ninayoweza kusema inaongozwa kwa kutumia akili ndogo sana.
Kuanzia juu, katikati, mpaka chini, viwango vya akili vya watendaji wake ni vya chini mno.
Na mifano yake ni mingi sana.
Mtu unaweza kuonyesha mfano wa yule msemaji wa jeshi aliyedai kuwa jeshi la Tanzania ni jeshi la sita kwa ubora duniani, madai ambayo kichekesho.
Mwingine anaweza kuonyesha kauli ya Rais aliposema kuwa Tanzania kiuchumi inafanya vizuri kuliko Marekani. Hii ni zaidi ya kichekesho. Ni kituko cha mwaka.
Tuje kwenye siku ya jana ambapo Rais alipotengua uteuzi wa balozi ambaye alishaacha kazi 🤣.
Labda ni mimi tu ndo ambaye sielewi. Labda ni ukilaza wangu tu.
Hivi inawezekanaje kumfukuza mtu kazi ambayo alishaiacha kitambo? Ni mtindo wa wapi huu?
Ni wapi hapa duaniani ambapo serikali hufukuza watu kazi ambao walishaacha kufanya kazi kwa hiari yao wenyewe?
Sijui nyie wenzangu mnaionaje hii serikali, lakini kwangu mimi naiona ni serikali iliyofilisika kabisa kiakili na kimaarifa.
Tukio la jana la Rais kutengua uteuzi wa Humphrey Polepole, lawezekana likawa ni tukio la kihistoria duniani kote.
Hata Idi Amin sidhani kama aliwahi kufanya hivyo 🤣.
🤣Labda akishaisoma atabubujikwa na machozi 🤣.
Mimi sina specific timeframe, ila kabla neno awamu ya sita kuwepo neno jeshi ni la sita, nilishasikiaMuda sana ndo upi?
Pia hakutakiwa kuridhia, akitakiwa kumvua hadhi ya kibalozo tu as yeye hakuandika barua ya kuona kuomba kuacha kazi bali aliacha kaziSema kwa Polepole alitakiwa kutoa tamko tu la kuridhia ombi lake la kujiuzulu! Na kama asingetoa tamko la kumkubalia, basi angetoa tamko la kumuondolea hadhi yake ya ubalozi kama angeona anafaidi sana.
Na siyo kumfukuza kazi mtu ambaye alishaandika kitambo barua iliyosambaa kwenye mitandao, ya kujiondoa kwenye hiyo nafasi yake.
Ushawaho ona wapi waislam wakawa na timamuYaani hata common sense tu hakuna! Kilichopo ni mihemko tu.
Huu uzi unaonesha kuwa wewe ni kiazi hujui nini maana ya ukuaji wa uchumiSema kwa Polepole alitakiwa kutoa tamko tu la kuridhia ombi lake la kujiuzulu! Na kama asingetoa tamko la kumkubalia, basi angetoa tamko la kumuondolea hadhi yake ya ubalozi kama angeona anafaidi sana.
Na siyo kumfukuza kazi mtu ambaye alishaandika kitambo barua iliyosambaa kwenye mitandao, ya kujiondoa kwenye hiyo nafasi yake.
Duh! Ulisikia wapi?Mimi sina specific timeframe, ila kabla neno awamu ya sita kuwepo neno jeshi ni la sita, nilishasikia
Wasaliti wa kwanza wa Tanzania ni wanasiasa. Tulifanya kosa kubwa sana kuingiza siasa kwenye utumishi wa umma.Nadhani hii serikali inayojiita ya awamu ya sita ina mambo yake ya kipekee sana!
Kwangu, hii serikali, ndo serikali pekee ninayoweza kusema inaongozwa kwa kutumia akili ndogo sana.
Kuanzia juu, katikati, mpaka chini, viwango vya akili vya watendaji wake ni vya chini mno.
Na mifano yake ni mingi sana.
Mtu unaweza kuonyesha mfano wa yule msemaji wa jeshi aliyedai kuwa jeshi la Tanzania ni jeshi la sita kwa ubora duniani, madai ambayo kichekesho.
Mwingine anaweza kuonyesha kauli ya Rais aliposema kuwa Tanzania kiuchumi inafanya vizuri kuliko Marekani. Hii ni zaidi ya kichekesho. Ni kituko cha mwaka.
Tuje kwenye siku ya jana ambapo Rais alipotengua uteuzi wa balozi ambaye alishaacha kazi 🤣.
Labda ni mimi tu ndo ambaye sielewi. Labda ni ukilaza wangu tu.
Hivi inawezekanaje kumfukuza mtu kazi ambayo alishaiacha kitambo? Ni mtindo wa wapi huu?
Ni wapi hapa duaniani ambapo serikali hufukuza watu kazi ambao walishaacha kufanya kazi kwa hiari yao wenyewe?
Sijui nyie wenzangu mnaionaje hii serikali, lakini kwangu mimi naiona ni serikali iliyofilisika kabisa kiakili na kimaarifa.
Tukio la jana la Rais kutengua uteuzi wa Humphrey Polepole, lawezekana likawa ni tukio la kihistoria duniani kote.
Hata Idi Amin sidhani kama aliwahi kufanya hivyo 🤣.
Duh! Ulisikia wapi?