Mapya CHADEMA, video zaidi zanaswa


makada wa chama wacojulikana wanaweza kuwa mateja tu wametengenezewa filamu na nchemba na kuvalishwa kombati za chadema ili kutupotezea muda, na jinc mambo yanavyoenda watajichanganya zaidi maana walijiandaa tu mwanzoni hawakujua mbele itakuwaje na ndo hivyo wnazidi kujianika
 
Slaa amekalia kurudia maneno yale yale kama kasuku, TISS TISS, sasa ngoja waje kugonga mlango wake. Ndio atawatambua ni nani, wao hawatazami uzee wa mtu,ni kichapo kwa kwenda mbele.

huko mbali sana mkuu, dawa ni kumuwekea video akiwa chumbani kwake na josephine
 
Naam, imani yangu kwa CHADEMA inazidi kuimarishwa. Viva CHADEMA.
 
Slaa amekalia kurudia maneno yale yale kama kasuku, TISS TISS, sasa ngoja waje kugonga mlango wake. Ndio atawatambua ni nani, wao hawatazami uzee wa mtu,ni kichapo kwa kwenda mbele.

jamani wamsamehe babu wa watu kwanza hana mda mrefu sana wa kuwepo.
 
Kuna siku ctashangaa kuckia Mwigulu kajirusha ghorofani kutoka na msongo wa mawazo!
 
chama cha kigaid,,ngja tusubiri waliosema clip ya lwakatale ni yakutengeneza...shame on them
 

Toa uchafu wako hapa ,kwan Watanzania wa leo ni mambumbu,wanapima na wao,au hamzunguki kuwasikiliza mitaani,hawaamini haya hata kidogo,mapovu yatazidi kuwatoka
 
Reactions: Ctr

acha kutukana tunaongea mambo ya msingi kama huna cha kuchangia nenda ndani na mumeo mkalale.
 
ya limboka tumeyajadili sana hapa yamechuja, usitutoe kwenye mada.

Ahaaah, umeonae!
Bac hata haya yatapita, ya kibanda yamepita kama ccm walivyopanga, mengine mengi na mazito zaidi yatapita.
Wakishindwa kabisa watua sana raia wasio na hatia,ilimradi wabaki madarkani kulinda uchafu wao na Uungu wao na familia zao.
Watatoka tu.
 
tatizo la watu wavivu kushughulisha bongo zao ndio hili...kama hujaelewa kwann usiende hata wavuti au website ya gazeti husika upate taarifa kamili. Unaishia kumshambulia mtu anayekupa habari mkuu?
Mkulu mtoa mada, mimi kama mshabiki wa filamu za mwigulu ninasikitika sana kwani sijatendewa haki na producer, alihaidi kuwa anazo nyingine nyingi na atatuwekea hapa mtandaoni kama alivyofanya toleo la kwanza, kwanini kazipeleka polisi pasipo kutuma nakala mtandaoni kama alivo haidi?
 
kichekesho cha karne! dola kubwa la Roma lilianza kuanguka hivi hivi..hata wakati wa Yesu wale askari walipewa rushwa waseme kuwa wafuasi wa Yesu waliuiba Mwili wake kwa kuwa eti walikuwa wamelewa pombe! askari wa kirumi dola lilosambaaa duniani wakati huo, sembuse ni polisi wa Tanzania, na akina LUdoviki? subirini muone dalili za dola linaloanguka, haitasalia hata fito moja kwenye dola la ccm
 
Reactions: Ctr
Mkuu umenena vyema ktk hili kweli wanasiasa inatakiwa watizame zaidi ya mara 1 hii nchi ni yetu sote.
 
ndoto za mchana hizo. Subiri uwaone mitume wenu mbowe na Slaa ndani ya karandiga.

kaka halafu mbowe ni jasiri wa kuwatuma wenzake wakaue but yeye muoga balaa siku akikamatwa anaweza kuzima mikononi mwa polisi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…