MAPUNGUFU YA MFUMO WA MWAKA HUU

Zehoes

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2015
Posts
512
Reaction score
352
Kuna bwana mdogo alifanya application SUA na UDOM

1st round akapata BVM ya SUA na hakuwa na multiple maana yake alikosa UDOM hakuridhika na BVM hivyo akafanya "reapply" pale UDOM sasa

2nd round kapata MD UDOM bila tatizo....

Hivyo basi TCU hawako makini kujua admitted applicant wa awamu ya kwanza ili wasijirudie kupata admission tena kwenye vyuo vingine..

Mwisho kabisa bwana mdogo kapata mkopo... Sasa bado hajajua huo mkopo umeelekezwa wapi UDOM ama SUA?...

Kwa mwenye kufahamu huo mkopo umeelekezwa wapi?...

Ama kipi cha kufanya kwa hapo Wakuu?
 
Huwa kuna utaratibu wa kubadili allocation ya mkopo Wakuu?.. Ili mkopo upelekwe UDOM

Bwana mdogo anahitaji MD
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…