YoungPastor JF-Expert Member Joined Sep 18, 2018 Posts 762 Reaction score 1,320 Jun 15, 2026 #1 BARA hii imekaaje kwa sisi waislam?
KENZY JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 36,510 Reaction score 88,977 Jun 15, 2026 #2 Kwanini kuna mapumziko
ndege JOHN JF-Expert Member Joined Aug 5, 2015 Posts 24,796 Reaction score 60,625 Jun 15, 2026 #3 Nchi ya kiislam ile tukubali tukatae history iko wazi..zanzibar ilishakuwa makao ya utawala wa sultan wa Oman kuna nini tena
Nchi ya kiislam ile tukubali tukatae history iko wazi..zanzibar ilishakuwa makao ya utawala wa sultan wa Oman kuna nini tena
M Malaria 2 JF-Expert Member Joined Oct 17, 2023 Posts 9,207 Reaction score 14,066 Jun 15, 2026 #4 ndege JOHN said: Nchi ya kiislam ile tukubali tukatae history iko wazi..zanzibar ilishakuwa makao ya utawala wa sultan wa Oman kuna nini tena Click to expand... Wakati tanganyika wametawala wakiristo wazungu wajerumani na wareno
ndege JOHN said: Nchi ya kiislam ile tukubali tukatae history iko wazi..zanzibar ilishakuwa makao ya utawala wa sultan wa Oman kuna nini tena Click to expand... Wakati tanganyika wametawala wakiristo wazungu wajerumani na wareno
MakinikiA JF-Expert Member Joined Jun 7, 2017 Posts 5,689 Reaction score 7,847 Jun 15, 2026 #5 Wavivu wa kazi
Ileje JF-Expert Member Joined Dec 20, 2011 Posts 13,205 Reaction score 20,542 Jun 15, 2026 #6 YoungPastor said: BARA hii imekaaje kwa sisi waislam? Click to expand...
YoungPastor JF-Expert Member Joined Sep 18, 2018 Posts 762 Reaction score 1,320 Jun 15, 2026 Thread starter #7 KENZY said: Kwanini kuna mapumziko Click to expand... Mwaka mpya kwa waislam