CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
umeona eh....
baba rizi katangaza?
lol
Kumbe imekuwa kweli hureeeeee.....
Ndio na kwenye gazeti wameandika kama hivo....
Siku za mapumziko nyingi namna hii, natangaza rasmi mkoa wetu kuwa nchi huru! mbunge wa jimbo la mjini kuwa rais
View attachment 138841
Full kulalaaaaaaaaa............. TANZANIA TANZANIA NAKUPENDA KWA MOYO WOTE!!!!!!!!!!!!!!!!!!
my cousin Raisi tena amesema tumpumzike siku hiyo au watu wameamua kulala bila ridhaa ya rais hebu nifungue macho ili kesho nisijisumbue kupiga pasi kwenda kazini nitafute mahali pa kujipumzisha best?
View attachment 138841
Full kulalaaaaaaaaa............. TANZANIA TANZANIA NAKUPENDA KWA MOYO WOTE!!!!!!!!!!!!!!!!!!
mhhhhhh nina mashaka gazeti la lini hili