Maprofesa wa kunena wakijibiwa kwa sinema na mapichapichaa

Maprofesa wa kunena wakijibiwa kwa sinema na mapichapichaa

Billen

New Member
Joined
Oct 23, 2018
Posts
4
Reaction score
6
Maprofesa wa kunena : Hawa ni wananchi wengi, baada ya kushiba ugali hata aliyesoma memkwa atampomkandia professa flani kama ni zero brain.

kisa nini ni chama flani anaeyewaona ni wachezaji wazuri wa filamu za kitapeli. umkute sasa huyo proffesa anaheshimika hapo mtaani au kijiweni kwa ajili ya kipato cha kubadilisha mboga, leo akala kisamvu kesho akala dagaa za mafungu. basi hapo kila mtu ni K*m* .

kisa nini ni wazee wa mbele kwa mbele. hapo atapiga domo na kuwapotezea maskini vijana wetu wanaopenda kukaa vijiweni kusikiliza alfa leyl ulela na hekaya za abunuwasi kuliko kujishughulisha. sasa kwenye hivo vikao kuna wanamapinduzi na wanaharakati kuliko hata kina tundu lissu na zzk. ikija kwenye maswala ya uchumi wanabishana kwenye uvuvi wamo kilimo wapo utalii wamo sasa huwa najiuliza kama hawa wanaweza kuyajua yote haya kwanini nchi inakuwa maskini. wakati tunawasomi wengi amabao wao huwa hawakosei na wanajua vyote. amabao wao lecture zao walikarishwa ukiuliza hichi unachokiamini amekisema nani atakuambia amekisikia kwa kamanda. sasa chaa ajabu huyu kamanda anayemvika vyeo hata mgambo hakwenda.

Ushauri kwa hawa maprofessa wa ulimi na meno wawe wanatumia ule msemo wa ukiambiwa changanya na zako. na pia wawe wanajudge kitu si kwa mioyo yao bali kwa akili zao baada ya kuambiwa jambo. na wawe wanasikiza pande zote mbili za shilingi si kupendelea kuona pande moja ya shilingi.

wazee wa mapichapicha: hawa ni wale wanaowatawala maprofessa wa kunena nao pia wana matatizo yao wanasahau ya wahenga kuwa mti mwema hupigwa mawe. ni kweli wametufanyia makubwa na wanajitahidi lkn speed ni ndogo wanabidi wakazane tufike kule tunakotaka, lkn cha kustaabisha ni kuwa nao wamekuwaya madirector wa filamu za kihindi kuwapotezea muda maprofessor hao kwa filamu kali na za kutisha lengo hasa sijajua ni ipi lkn nadhani wanatufanya kama wasafir wa mabasi kudanganywa na tv na music wajione kama wako wataliii, wamiliki wakiyafanya hayo kupingana na ile kauli safari ni kifo.

huku wakiwa si wastahamilivu katika kukosolewa kwao. ni kweli wanavikwa mzigo mkubwa wa dhambi ambao 70% ni uzushi na propaganda 30% yakiwa yanawahusu lkn 30% hiyo badala ya kutubu wao wanakana na kujipa umalaika kwa asilimia 100% .

sasa hapo ndo inapokuja kitu tunachoita TIT FOR TAT AMA WEKA KITU NIWEKE KITU.

TIT FOR TAT: NIZILE 30% YA MADHAMBI YA MALAIKA MTAKATIFU ZIDI YA MAKAMANDA WA WASIOPITIA DEPOT HUKU MAPROFESA WAKUNENA(WANAINCHI) TUKIACHWA TUNASEMAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA

SASA YULE ANAYESEMWA NAE ANATAFUTA CHA KUSEMWA BADALA YAKE HAPO ANATAFUTWA DIRECTOR MZURI WA KUBUNI PICHA MPYA IKAWA TALK OF THE TOWN SASA KWA MWENDO HUU WA SIASA ZA KUPINGAPINGA KILA KITU HAKIJALISHI NI KIZURI AMA KIBAYA SIE NI KUPINGA TUU NAFIKIRI MUNAWAPATA TABU WATAKATIFU AMBAO HAWAKOSEI PALE ATAKAPOKOSEA.

BASI ILI MUSIWASEME WATAKATIFU WENU NI KUWALETEA NEW SERIES NA EPISODE MPYA ZAKUWAFANYA MAPROFESSA WAPATE CHA KUBISHANIA ILE WAPUNGZE UKALI WA MAISHA NA SIKU ZISOGEE.

KWAHERINI ila tu tujikumbushe episode iliyopia ilikuwa ni ya korosho ikazimwa na mzee wa energy. baada ya mzee wa energy kupatikana ikazimwa na na habari za kina sependa na amber liwati. akaja Mzee wa kigoma na press moja matata sana nayo ikaishi muda mchache kufika jioni akaja mzee wa Tanzanite na story za abdrahmn na kina patel.

mpk jioni hii naingia ndani kwangu talk of the town ni ni yupi na ni nani anayempa jeuri mzee wa tabzanite kuongea maneno hayo huku maprofessa wakiyachosha ndimi zao kubishana pasina kujua series ni ndefu kuishinda The bold and the beautifull.
 
Umenena kweli.Ila hii ndio nchi yetu.Ni mwendo wa movies.Ni kama tupo ndani ya movies.Tena movie za kihindi ambazo zina fake action na news nyingi,Starling wa movies yeye hashindwi,wala hapewi kashkash.Tuiombee nchi itoke kwenye ndoto,iingie kwenyw uhalisia kama nchi zingine.
 
Nimesoma huu uzi kwa kutumia sauti ya yule msimuliaji wa TBC
 
"Wasomi wengi wa Afrika ni wapumbavu" By P.Botta.Upumbavu ni ile hali ya kuujuwa ukweli,kuuona ukweli,lakini unaendelea kuamini katika uongo.Na hii yote husababishwa na IQ ndogo.
 
Back
Top Bottom