Sasa wewe! Badala ya kusema wako wapi wewe unahesabu walioko CCM. Wewe sema wako wapi? Au umekumbushwa machungu?CCM na maprofesa kibao lakini bado imezama na kukwama kwenye tope, ninyi so mlisema 2020 uchaguzi hutakuwepo, saizi unawakumbuka wakina baregu, utakoma, kwani ninyi wakina process Mwandosya wako wapi waje kuokoa jahazi linalozama?
Genge la wahuni ni CCMAchana na genge hili la wahuni. Si unaona walivyoparaganyika? Hata M/kiti sasa hivi haonekani?
Mwenye mapungufu hata akiamua kujinyoga, huchagua tawi la hovyoo!!
Ndo muamini Mungu yupo na anaishi. Pamoja na hayo yote mnayosema CCM, mamilioni ya watanzania wanazidi kuwaunga mkono Chadema na mwaka huu hapo October, historia kuu inaenda kuandikwa kwa watanzania kukifanya CCM kuwa Chama pinzani!Baregu na Safari mulikuwa maprofesa wawili muliojiweka wazi kuisaidia CHADEMA. Ni muda sasa siwasikii kabisa! CDM iliwakataa au muliishindwa wenyewe? Nawatafuta kwa sababu njema maana ninaposikia na niliposoma ilani ya chama hiki, inasikitisha. Ni ilani isiyo na mikakati lakini inataja matumaini tu! Muko wapi ndugu zangu?..
Chadema hakuna msomi aweza waunga mkono wasomi waliiunga mkono enzi wapo akina Dr Slaa ,Profesa Baregu na Professor Safari tuBaregu na Safari hawawezi kuambatana na wahuni!
Kama unakumbuka Baregu alianza kujitenga na chadema baada ya ule uhuni wa kina Gwajima kuwa washenga wa kumleta EL, na wenye akili kina Slaa kukataa kula matapishi yao.
Unajitekenya ...wasomi 70% wapo na Lisu,Hawa wengine 30% Ni wale wa majalalani ,wengine CUf,CCM ,NCCR na kwa Ubwabwa!Chadema hakuna msomi aweza waunga mkono wasomi waliiunga mkono enzi wapo akina Dr Slaa ,Profesa Baregu na Professor Safari tu
Kama chadema mna mamilioni basi CCM ina mabilioniNdo muamini Mungu yupo na anaishi. Pamoja na hayo yote mnayosema CCM, mamilioni ya watanzania wanazidi kuwaunga mkono Chadema na mwaka huu hapo October, historia kuu inaenda kuandikwa kwa watanzania kukifanya CCM kuwa Chama pinzani!
Baregu na Safari mlikuwa maprofesa wawili muliojiweka wazi kuisaidia CHADEMA. Ni muda sasa siwasikii kabisa! CHADEMA iliwakataa au mliishindwa wenyewe? Nawatafuta kwa sababu njema maana ninaposikia na niliposoma ilani ya chama hiki, inasikitisha. Ni ilani isiyo na mikakati lakini inataja matumaini tu! Mko wapi ndugu zangu?..
Uongo mlioutumia kushinda kisiasa Mlifanikiwa tu enzi za miaka kumi ya Kikwete safari hii mumekwaa kisikiUnajitekenya ...wasomi 70% wapo na Lisu,Hawa wengine 30% Ni wale wa majalalani ,wengine CUf,CCM ,NCCR na kwa Ubwabwa!
Mwandosya ni professor wa Engineering (Electrical) angeona jahazi kweli linazama angejitokeza kufunga umeme likae vizuri.CCM na maprofesa kibao lakini bado imezama na kukwama kwenye tope, ninyi si mlisema 2020 uchaguzi hautakuwepo, sahizi unawakumbuka wakina Baregu, utakoma, kwani ninyi wakina Professa Mwandosya wako wapi waje kuokoa jahazi linalozama?
Kama ulivyokuwa unawaaminisha watu kuwa CHADEMA ilishakufa?Uongo mlioutumia kushinda kisiasa Mlifanikiwa tu enzi za miaka kumi ya Kikwete safari hii mumekwaa kisiki
Yupo mapumzikoni kama mgombea wenuBaregu na Safari mlikuwa maprofesa wawili muliojiweka wazi kuisaidia CHADEMA. Ni muda sasa siwasikii kabisa! CHADEMA iliwakataa au mliishindwa wenyewe? Nawatafuta kwa sababu njema maana ninaposikia na niliposoma ilani ya chama hiki, inasikitisha. Ni ilani isiyo na mikakati lakini inataja matumaini tu! Mko wapi ndugu zangu?
Kwenu CHADEMA, kama hata hawa mliwapoteza, basi kaeni tayari kupotea gizani. Hawa walikuwa taa yenu kisiasa. Siasa za ubunifu wa mitaani hamtafika kokote. Siasa ni sayansi na tayari mlikuwa naye profesa Baregu, mwalimu wa sayansi ya siasa nchini. Hizo sera za kurekebisha sheria kila siku majukwaani, angeachiwa profesa Safari awasaidie.