Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 371,517
- 860,567
Tunawafahamu zaidi wanamuziki wetu kwa nyimbo zao kali na majina yao, lakini tukumbuke nyuma yao kuna kazi kubwa sana imefanywa na producer mpaka mziki husika ukawa kama ulivyo. Man Water Shirko na wengine kibao ambao mikono na ufundi wao ulisababisha bongo fleva iwe hivi ilivyo leo BIG UP SANA PRODUCERS WA BONGO FLEVA