Mapozi wanayotumia wasichana kupiga picha.

Aputwike

Senior Member
Aug 9, 2016
172
189
Moja ni ile ambayo mwili huelekea mbele, lakini hugeuza kichwa kutazama makalio take.

Nyingine Kali ni hii ya kubusu hewa, kama hii pichani
985bc8ad83780abcf6051aeb1d212593.jpg
 
Mmmmh ile ya kugeuza makalio inaniuz eti. ..mke wangu akipiga hiyo taraka inamfuata
 
Back
Top Bottom