Mapori yafyekwe kwa usalama

Mapori yafyekwe kwa usalama

ZE NDINDINDI

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2016
Posts
1,885
Reaction score
4,014
Jeshi letu mahiri la police limezuia tinted za magari kuzuia ngono na ujambazi, ni uamuzi wa busara na kitaalamu mno. Wakumbuke pia kufyeka mapori au kuyachoma moto maana mauaji, ubakaji, ngono na ujambazi hufanyikia huko pia
 
Back
Top Bottom