simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,694
- 9,580
Wanzanzibari wamejitokeza kwa wingi kupokea mashujaa.
Channel gani?Wanzanzibari wamejitokeza kwa wingi kupokea mashujaa.
Mashujaa ni kina ninje na kiriaHamna cha mashujaa hapo
Kabisa mkuuMashujaa ni wale walo rudi na point 1![]()
![]()
![]()
![]()
Sahihi 100%Mashujaa ni kina ninje na kiria
Wewe una wako Tanganyika wazanzibari wanayo Zanzibari Heroes chuki ya nini kati yangu na Wewe?Hao viazi ndio wanaitwa mashujaa kwa kumaliza nafasi ya pili,warudi uku waanze kuvua pweza tu.
baki na timu yako Tanganyika jeki wewe.. na mpira wenu wa magazetiHao viazi ndio wanaitwa mashujaa kwa kumaliza nafasi ya pili,warudi uku waanze kuvua pweza tu.
baki na timu yako Tanganyika jeki wewe.. na mpira wenu wa magazeti



sanaa tumepata usd 20000 nyie mlirnda kutingisha matako mkarudi na zawadi ya point 1 ..Wewe na timu yako ndio mnashangilia mafanikio yenu ya kucheza fainali alafu ndoo kanyanyua Kenya![]()

aibu sana