Mapokezi ya Zanzibar heroes live Azam tv

I thought so once; and now I know it, muungano is excess baggage, unnecessary burden. Zanzibar oyee.
 
Hatimaye Azam wamekatisha mapokezi mazito ya Zanzibar heroes na kumchomeka Mwana riadha Alphonse Simbu. Nini hii?
 
Hao viazi ndio wanaitwa mashujaa kwa kumaliza nafasi ya pili,warudi uku waanze kuvua pweza tu.
 
Pongezi kwa Kenya " Harambee Stars" kwa kunipigia hao wauza ulojo , nsona nchi kimyaaaaaaaa
 
Back
Top Bottom