tuache unafiki...!!! WEMA nae ni msanii ana mashabiki wake..!!! kwanini wasimpokee...! kila mtu na watu wake...!!
acheni kuwatukana mashabiki wa mtu...!!!
Duh siku hizi dunia imeisha hadi wanaume na familia zao wana wivu???ndo maana mashoga wanaongezeka,sasa kumpokea mtu na kuwa na kazi kuna mahusiano gan??? Kama mtu humpendi usiwabeze wampendao
Kila mtu ana haki ya kufanya chochote akipendacho, wewe ukionacho ni positive kitu kwako kwa mengine ni negative. Na huwezi kuchikiwa na wote.
Kumpenda mtu au kumchukia ni maamuzi binafsi ya mtu. Watanzania hampendi kuheshimu wengine wavipendavyo.