Mapokezi ya mh slaa chadema karagwe yadoda

Status
Not open for further replies.
majirani sijuhi ni ndugu zako hao,wanazomewa mpaka vichochoroni ...tafakari,chukua hatua!
 
Karakana ya uongo imeanza kazi,leo kinana yupo arusha sijui kama tembo watasalimika
 

Sawa mapokezi yalikuwa duni, je, mbunge wa karagwe aliyeiba kura bado anakuja jimbo chini ya ulinzi? Husitufanye mazezeta kama wewe.
 
Muulizeni Hawa Ghasia na ccm kwa ujumla walichokipata Mtwara, nipo Mtwara hivi sasa ni aibu kubwa walipata hawa ndugu pale makonde beach na kwenye mkutano wa hadhara.
 
uongo unadharirisha sana nna uhakika mpaka mida hii umeuona ukweli wa mapokezi ya dr slaa karagwe, siku nyingine kama haupo katika eneo la tukio jaribu kuwa mtulivu na usubiri waliopo huko wanasemaje, imesemwa mjinga akikaa kimya huhesabiwa ufahamu
 
kweli wewe haupo karagwe, nipo uwanja wa mpira isingiro watu wametoka pande zote hata uganda, uwanja haujawi jaa kiasi hiki wala hatujawahi pata magari mengi hivi. Nashindwa kuweka picha kwani nina kasimu kangu kadogo leo.
 
unakaa unadanganya ukidhani unakitetea chama chako, kwa taarifa yako kagera ccm itazimwa kabisa uchaguzi ujao mida hii mbunge wa ccm bukoba mjini yupo anafanya mkutano ambao una wahudhuriaj wachache sana anamponda meya anayetokana na chama chake cha ccm, kesho subiri taarifa za kweli M4C itashuka kama kunguru anavyonyakua panzi wanaopigana
 

[h=2]
PICHA: Harakati za CHADEMA huko Karagwe, Kagera[/h]

Wanachama wa Chadema katika Mkutano uliohutubiwa na Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Willibrod Slaa


Katika mkutano huo mjini Kayanga, ambako Dk Slaa alisema Chadema haioni wivu wa kubuni sera na CCM ikatekeleza kwa manufaa ya watanzania


Wajumbe wakiwa katika Baraza la Ushauri wilayani Karagwe, Kagera. Hawa ni viongozi wa majimbo, wilaya na mkoa mzima. Ni utaratibu ambao ni endelevu.




Mwenyekiti wa Chadema mkoani Kagera, Wilfred Rwakatare akifungua mkutano.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…