GE2025 Mapokezi ya Mgombea Urais CCM, Samia, Moshi Mjini

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,116
Reaction score
3,496
Shamra shamra za mapokezi ya Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan Moshi Mjini zimepamba moto na matembezi kuelekea Uwanja wa Mashujaa yamefana

Your browser is not able to display this video.




 
Zamu ya Moshi kuahidiwa kujengewa soko na Mgombea Urais kupitia CCM Mh. Samia Suluhu Hassan. Nani kama mama??!!!
 
Ujinga Mtupu! Hiyo fedha ingetosha kujenga vyumba vya madarasa, hayo mabasi ya CCM yangetumika kama mwendokasi, all that for what?
 
Sawa na mtu anajipiga dole la nyuma halafu ananusa akitarajia kupata harufu tofauti!.
 
Arusha wamesema watavunja rekodi nchi nzima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…