GE2025 Mapokezi ya Mgombea Mwenza Balozi Emmanuel Nchimbi Kishapu – Shinyanga

GE2025 Mapokezi ya Mgombea Mwenza Balozi Emmanuel Nchimbi Kishapu – Shinyanga

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

KIJICHO PEVU

Member
Joined
May 4, 2024
Posts
69
Reaction score
49
MAPOKEZI YA MGOMBEA MWENZA BALOZI EMMANUEL NCHIMBI KISHAPU – SHINYANGA

Mgombea Mwenza wa Nafasi ya Rais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Emmanuel Nchimbi, akiwasili Kishapu mkoani Shinyanga kwa ajili ya muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu za CCM, ambapo alipokelewa kwa shangwe na maelfu ya wananchi waliojitokeza kumsikiliza akinadi Ilani ya CCM 2025–2030 na kuomba kura za Ndiyo kwa Mgombea Urais Dkt. Samia Suluhu Hassan tarehe 29 Oktoba 2025.

20250903_143412.jpg
20250903_143407.jpg
20250903_143321.jpg
 
Back
Top Bottom