Mapokezi ya Lowassa na UKAWA Sumbawanga - Tarehe 02 Septemba, 2015

Insabhunsa Gusa

Senior Member
May 13, 2011
109
88
Wadau wa UKAWA s'wanga.

Mtujuze kwa picha tafadhari mapokezi ya mleta mabadiliko kamanda Edward na timu yake hapo mazwi, mjini Swanga. tunasubiri kwa hamu, mumthibitishie Dr. kuwa haturudi nyuma kwa safari iyoanza tayari!


MKUTANO WA EDWARD LOWASSA SUMBAWANGA



Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa akimnadi kwa wananchi, Mgombea Ubunge wa Jimbo la Sumbawanga Mjini, Ikuo Malila, katika Mkutano wa hadhara wa Kampeni za Mgombea Urais hiyo, uliofanyika kwenye Uwanja wa Kizwitwe, Sumbawanja Mjini, leo Sepremba 2, 2015.
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Freeman Mbowe, akizungumza wakati akitolea taarifa swala na ratiba ya Mikutano ya Kampeni za Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa (kushoto) uliofanyika kwenye Uwanja wa Kizwitwe, Sumbawanja Mjini, leo Sepremba 2, 2015.Kulia ni Mke wa Mh. Lowassa, Mama Regina Lowassa.
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Freeman Mbowe, akihutubia Mkutano wa hadhara wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Kizwitwe, Sumbawanja Mjini, leo Sepremba 2, 2015.


Sehemu ya Wananchi wa Mji wa Sumbawanga, waliofurika kwa wingi kwenye Uwanja wa Ndege wa Sumbawanga, wakiishangilia Ndege iliyombeba Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, wakati ikiwasili Uwanjani hapo, leo Sepremba 2, 2015.
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa na Mkewe, Mama Regina Lowassa, wakiwapungia mikono maelfu ya wananchi wa Sumbawanga Mjini, waliofurika kwenye Uwanja wa Kizwitwe, leo Sepremba 2, 2015.
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akihutubia Mkutano wa hadhara wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Kizwitwe, Sumbawanja Mjini, leo Sepremba 2, 2015.
 
wadau wa ukawa s'wanga.


Mtujuze kwa picha tafadhari mapokezi ya mleta mabadiliko kamanda edward na timu yake hapo mazwi, mjini swanga. Tunasubiri kwa hamu, mumthibitishie dr. Kuwa haturudi nyuma kwa safari iyoanza tayari!



kama ww hauko katika mkutano unaanzisha uzi wa nini?

Kurugenzi ya habari chadema inakuaje hili?
 
mwendo mperampera hiyo, nikimkumbuka mamvi yule ninayemuonaga azania front wala sikujua kama atakuja kufanya makubwa hivi, MUNGU ambariki sana huyu mzee, nitakuwa pamoja naye daima
 
Karibuni wana wapotevu huku kuna Mabadiliko na ukombozi wa nchi yetu mpya Tanzania,CCM ni sawa na UKOMA kwa maendeleo na wanapenda sana ufisadi mno,
Mabadiliko...........LOWASA

Mimi ninaumwa sysyemu. Sisyemu ni gonjwa baya kupindukia, limedumu miaka 54 ila alhamdoulillah tiba yake imepatikana mwaka huu - LOWASSA (UKAWA).

Hii tiba imeonyesha uwezo mkubwa wa kutibu gonjwa hili kuu, kwani baada ya wiki moja tu vimelea (bacteria & virus) vya sysyemu vimeanza kuhangaika huku na kule vikisuffocate, na kutafuta namna ya kusevu ngoma. Hebu angalia jinsi bacillus Vikwete na bacillus Sitta vinavyohangaika. Ona vile virus Na-Unye (labda ujinyee) na virusi vingine vinahaha baada ya dooz ya Ukawa kuanza kuingia.

Mie ninapata nafuu, na mamillion wengine wanatakiwa kupata dooz ya UKAWA ili kuponyeka. Dooz hii ina nguvu ya ajabu kwani mwathirika wa gonjwa baya la sysyemu huweza kuipata kwa njia mbali mbali ikiwa ni pamoja na audio, au visual, ... hebu fikiria jinsi mkulu JK alivyonyunyiziwa dooz kwa kupitia nyoomi aliloliona kwa picha za kuunganishaunganisha za kule Mbeya, Arusha na Mwanza!!!!

Ni hataaareeee!!
 
Wadau wa UKAWA s'wanga.


Mtujuze kwa picha tafadhari mapokezi ya mleta mabadiliko kamanda Edward na timu yake hapo mazwi, mjini Swanga. tunasubiri kwa hamu, mumthibitishie Dr. kuwa haturudi nyuma kwa safari iyoanza tayari!



Peeeeeopleeeeeeeeeee'sss?
POWEEEEEEEEERRRRRRRR!
 
picha za nini! zaid ungehitaji tukupe tarifa ya anachokisema kwa dakika 8

Mwaka wa 53 huu toka tupate uhuru ukimtoa Baba wa Taifa hayati J.K.Nyerere hawa wengine na hotuba zao ndeeefu tumefaidika na nini tunataka matendo hayo maneno hayatusaidii.
 
Back
Top Bottom