Mapokezi ya Lissu jijini Mwanza ni ishara kwamba wakazi wake si wabaguzi wala wakatili

lee Vladimir cleef

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
9,151
33,335
Mwanamuziki Hayati DK Remmy Ongala alitunga wimbo wa Mwanza, Ingawa aliimba na Bukoba, Kagera

Alisifu Sana ukarimu wa watu wa Mwanza.

Nanukuu kidogo maneno ya wimbo huo, Kisha nitaleta hoja ya mada yangu.

Remmy aliimba:

Mwanza ooh Mwanza,Mwanza mji mzuriiii
Mji wa Mwanza umezungukwa na lake Victoria,yenye maji baridi na samaki watamu,

Mji wa Mwanza umezungukwa na milima ya mawe,
Milima ya almasi,
Milima ya dhahabu,

Wakazi wa Mwanza Ni Wasukuma,

Wanasema kisukuma,

Sukuma waaaa,
sukuma waaaa,

Molemhola banike,
molemhola bamayo,
Mwadela banamhala,

Mwanza tutarudi Tena"

Mwisho wa kunukuu.

Dk Remmy alitunga wimbo huo baada ya kupokelewa vizuri na wakazi wa Mwanza Kama alivyopokelewa Lissu hivi punde.

Nimeandika mada hii ili kueleza kuwa Wasukuma sio,wabaguzi,siowakabila na wala sio watu makatili asilani. Ila Kuna baadhi ya watu wanatumia kivuli cha uwingi wa wasukuama kwa manufaa binafsi ya kisiasa.

Mkoa mzima wa Mwanza Lissu kapokelewa vizuri na kwa ukarimu wa Hali ya juu kabisa, hadi kusindikizwa kwenda kulala na kumlinda asidhuriwe.

Ikumbukwe Geita ilikua ni Wilaya ya Mwanza wakati Remmy akitunga wimbo huo.Remmy Kama Lissu alipokelewa vizuri Sana Mwanza na Bukoba.

Kwa hiyo nawaomba Sana Watanzania wenzangu mapokezi ya Lissu yamefuta kabisa hisia kwamba Wasukuma Ni Wakabila na wakatili, hapana Ni mtu mmoja tu ambae sina uhakika kama ni Msukuma.
 
Mwanza walikuwa wanaambiwa ni washamba, na Mgombea mmoja anapanda kwenye kampeni anawaomba wapiga kura kwa kinyaturu ili wapigakura wamwamini kama no mnyaturu mwenzao.

Kumbe wapigakura wameahamjua kuwa Hana hata cheti cha kuzaliwa cha kinyaturu.
 
Mmefanya jambo jema sana wana Mwanza jana hongereni sana kwa kuwa mstari wa mbele kwenye mabadiliko na kukataa ukabila.
Wasukuma kwa asili sio wachoyo, sio Wakabila, sio wabaguzi. Nadhani wametoa majibu.

Ni waelewa na ndio maana wametoa majibu. Wanauoendo na ndio maana wametoa majibu.

Siku ya kupiga kura nenda na rafiki zako, jamaa zako, na wapendwa wako.

Hakikisha unampa kura yako Lissu na mbunge Diwani wote Chadema.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom