Mapokezi ya Dkt. Tulia mkoani Mbeya yaweka rekodi

Mapokezi ya Dkt. Tulia mkoani Mbeya yaweka rekodi

Nchi ya watu wenye akili wanafanya majaribio ya silaha zao Baltic sea; Ukraine ikiwa fire testing ground, Sisi ati tunajipanga barabarani kusubiri mtu asiyejua kushoto wala kulia Dunia hii. Shithole ......! Nchiyetu ina bahati mbaya sana.
Wakapimwe AKILI....
 
Mpaka inakera hii nchi bado sana. Mabango waliyoweka yana ujumbe HONGERA SANA UMETUHESHIMISHA. Nimeona aibu mimi
 
Hii nchi ya kishamba sana. Miccm imeandaa mapokezi na wametandaza mabongo barabara nzima. Ukijiiuliza hii yote kwa ajili ya nini?
 
Mwendazake hayupo nenda ukamshinde sasa
Mwanzo nilijua kuwa wewe ni MHABARISHAJI tu wa tukio hilo. Lakini baada ya kusoma comment yako hii, nimegundua kuwa wewe ni mmojawapo wa CHAWA wa Tulia!
Huko IRINGA na DODOMA, ni WASHAMBA kuliko MBEYA. Lakini hawakuonyesha USHAMBA huo, walipotoa ma SPIKA kutoka mikoa yao!
 
Ila wanaume tuna upendo jamani... yaani kuna mtu anakwichikwichi na Dr Hangaika

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app

Watu wanakwichi na vitu vya ajabu ndugu,huyo mzuri kabisa.
Na watu wa aina hiyo huwa wanajijua na wana namna ya kucover hiyo situation akiamua akunasishe hutoki.
Watu watakwambia mwanamke wako mbaya lakini wala hutajali.
Maana utagundua kuwa sura na umbo ni sehemu ndogo tu ya nje ambayo kila mtu anaona,wala sio spesheli na unavichoka kwa muda mfupi.
Uzuri wa Mtu ni Character yake tu(kwenye kila kitu).
 
Mapokezi ya Spika wa bunge la Tanzania ambaye pia ni mbunge wa jimbo la Mbeya mjini Dk Tulia yameacha historia kwenye jiji la Mbeya leo.
Wananchi kuanzia mkoa wa Iringa wamejipanga barabarani kumpokea mtoto wao



Watakuwa wameenda kuangalia sura ya baba.
 
Mapokezi ya Spika wa bunge la Tanzania ambaye pia ni mbunge wa jimbo la Mbeya mjini Dk Tulia yameacha historia kwenye jiji la Mbeya leo.
Wananchi kuanzia mkoa wa Iringa wamejipanga barabarani kumpokea mtoto wao



Wewe upo Mbeya lakini? Unauhakika amepokewa au amejitolea?😂😂😂
 
Nchi ya watu wenye akili wanafanya majaribio ya silaha zao Baltic sea; Ukraine ikiwa fire testing ground, Sisi ati tunajipanga barabarani kusubiri mtu asiyejua kushoto wala kulia Dunia hii. Shithole ......! Nchiyetu ina bahati mbaya sana.

hahahahaha kila mtu anahangaika na shida zake. Hao wa Baltic sea mahitaji yao ni makombora, sisi hayo sio mahitaji yetu.
 
Mbeya Inoghile
IMG-20220226-WA0010.jpg
IMG-20220226-WA0013.jpg
IMG-20220226-WA0012.jpg
 
Mwendazake hayupo nenda ukamshinde sasa
Safi kabisa. Wagu waongo sasa hivi wanashindwa nini kuendelea na maisha yao. JPM kipenzi cha wengi hayupo haya endleeni na matozo yenu/ Let Him Rest In Peace.
 
Back
Top Bottom