Leta uchaguzi kenge weweMwendazake hayupo nenda ukamshinde sasa
Sio kidogoDu kazi tunayo waafrika,safari bado ndefu kweli
Mapokezi ya Spika wa bunge la Tanzania ambaye pia ni mbunge wa jimbo la Mbeya mjini Dk Tulia yameacha historia kwenye jiji la Mbeya leo.
Wananchi kuanzia mkoa wa Iringa wamejipanga barabarani kumpokea mtoto wao
Sugu alienda mahakamani?
Ndio hivyo mkuu kama una hasira kazimalizie Ukraine 😬😬Niliposoma ujumbe huu nilichukua muda kujiuliza, jee kuna ukweli kiasi gani hapa?
Jibu nililopata ni kuwa yuko [emoji817]% right.
View attachment 2131829
🚮🚮Nilidhani mapokezi ya Rais Putin!
Rubbish 🚮🚮Naona sasa kuwa mtumishi wa UMMA ni nafasi ya anasa na sio utumishi tena!
Katiba ijayo iweke kipengele ukichaguliwa ama ukiteuliwa kisha ukafanya sherehe au kusheherekea iwe nikigezo cha kufuta uteuzi/kuchaguliwa kwako kwa maana pana kwamba huna nia sawia ya utumishi zaidi ya maslahi binafsi Saudi na inaleta hisia ya kutokuwa na usawa katika utendaji wako! Ukiteuliwa/kuchaguliwa apa, ingia kazini onyesha uwajibikaji wako! Haya mambo yakusheherekea yanatoka wapi tena!?
Ni mtazamo tu!
Chadomo endeleeni kujazana space sijui chain afu mtaona moto 2025Kushinda ubunge siku hizi Ni ushujaa. Halafu uchaguzi umeisha zamani , ndio leo wampokee kushangilia ushindi?. Sugu alikuwa hapambani na Tulia Bali na yule jamaa chalamila. Maana chalamila asubuhi tu hata watu hawajapiga kura akasema atamlipua Sugu na bomu, mkuu wa mkoa anaongea hivyo unategemea Nini.
All in 2020 hapakuwa na uchaguzi.
Safi kabisa. Wagu waongo sasa hivi wanashindwa nini kuendelea na maisha yao. JPM kipenzi cha wengi hayupo haya endleeni na matozo yenu/ Let Him Rest In Peace.
Endelea kuona aibu 😁😁,wazee wa space 😄😄😄Mpaka inakera hii nchi bado sana. Mabango waliyoweka yana ujumbe HONGERA SANA UMETUHESHIMISHA. Nimeona aibu mimi
Join the chain ☺️☺️☺️☺️Makada wa ccm wanampokea jizi la kura
Nilidhani mapokezi ya Rais Putin!
Chadomo endeleeni kujazana space sijui chain afu mtaona moto 2025
Utajua wewe iwe tozo au Kukopa au kuokota,subirieni moto..Moto gani tutaona zaidi ya kukopa na tozo?. Halafu Kuna jipya gani CCM watafanya ambalo Sasa hivi hawafanyi. Kama Bunge lote lao Kama halmashauri zote zao, lakini kutwa kutangatanga nchi za watu kutembeza bakuli na kuomba mikopo.
Halafu CHADEMA wamebuni strategy zao kwa sababu hamtaki wafanyeje siasa. Ila kumbuka uchaguzi wa 2020 Magufuri pamoja na kuzuia wengine na kujitangaza yeye tu kwa Miaka mitano ila alifikia hatua ya kuzima mitandao ili kufanya wizi , lakini pamoja na wizi wote akaondoka wengine wanafaidi. Kumbe Bora angekuwa fair akaacha fair ground angeondoka kwa heshima.
Mkuu ukitia mguu wako mademu wa hivyo hubandui, i have one whom you can't look twice, but on the matress she is fuckin doing magic which i have never experienced in more than 20 beatiful look women.Ila wanaume tuna upendo jamani... yaani kuna mtu anakwichikwichi na Dr Hangaika
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
We unajua hao wengine ni watoto tu.Uzuri wa mwanke upi sehemu nyingi sana.Watu wanakwichi na vitu vya ajabu ndugu,huyo mzuri kabisa.
Na watu wa aina hiyo huwa wanajijua na wana namna ya kucover hiyo situation akiamua akunasishe hutoki.
Watu watakwambia mwanamke wako mbaya lakini wala hutajali.
Maana utagundua kuwa sura na umbo ni sehemu ndogo tu ya nje ambayo kila mtu anaona,wala sio spesheli na unavichoka kwa muda mfupi.
Uzuri wa Mtu ni Character yake tu(kwenye kila kitu).