Mapokezi ya DC wa Korogwe ndugu Mrisho Gambo latika picha

Mapokezi ya DC wa Korogwe ndugu Mrisho Gambo latika picha

vempire

Member
Joined
Nov 22, 2011
Posts
29
Reaction score
5
1413463075886.jpg
 

Attachments

  • 1413463098610.jpg
    1413463098610.jpg
    41.2 KB · Views: 414
  • 1413463135084.jpg
    1413463135084.jpg
    74.7 KB · Views: 420
  • 1413463160086.jpg
    1413463160086.jpg
    56 KB · Views: 429
Hongera sana mwanangu Gambo..wanafki na wala rushwa hakika wanakuona adui..keep up the good spirit!
 
Hao ni vilaza wanampokea kilaza mwenzao, hapo itakuwa iliandaliwa kimakusudi ili kumwonyeshea aliyemteua kuwa bado anakubalika na anapendwa sana....Uzuri tunawajua vzr sana tu.....
 
  • Thanks
Reactions: MTK
Watanzania bwana, sijui ni nani aliyeturoga. Mambo yasiyo na tija kwenye maisha yetu ndio tunayatolea macho, mambo ya maana ya kusimama bara barani hakuna hata mmoja anayefikilia kuhusu hilo.
 
Hakuna lolote hapo kwenye utendaji nae mnatuletea siasa kweli...
 
Tujiulize, Je hawa watu wameomba kibali cha policcm kufanya haya yote? Kama hawajaomba kibali, Policcm wamechukua hatua gani? Vinginevyo waache ''double standard''
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom