Fanyeni kazi mjiingize kipato chenu halali.
Msipoteze muda wenu kwa ajili ya mtu anayeandaa maisha yake binafsi ya kustaafu...
Baba yangu hakuwahi kushikwa akili na hawara alikuwa kidume cha mbegu
Le Mutuz umeangamiza waasi utetezi wao utabaki matusi tu
- Ni kweli ametuwakilisha vizuri sana kwa kwenda nchi za watu na mke wa mtu ambaye kesi yake bado ipo mahakamani, sawa sawa!!, hii ni bendera fuata upepo tu bila hata kuuliza!!
Le Mutuz
Misukule kwa matusi tu hamna mshindani
Na bado. CCM hadi mnyonyoke vinyweleo mwaka huu
- Huwa ninakuheshimu sana maana huwa unajitahidi sana kujibu hoja kwa hoja, nashangaa leo nani kaiba ID yako!!
Le Mutuz
Jenga hoja ujibiwe kwa hoja. Ukijenga vioja utajibiwa vioja. Tuendelee kuheshimiana
Halafu msongamano wenu utamnyma uhuru Josephine Mushumbusi. Amefanya shopping ya nguvu Marekani, sasa mkijazana pale ataona noma na mizigo kibao wakati anawalaghai kuwa alienda study tour...
Msukule wa babu
we unashinda lumumba una tofauti gani na hao vijana!?? nonesense!Vijana nawapa ushauri wa bure msidhani Chadema wapo kwa ajili ya kuwakwamua kimaisha siyo kweli.
Serikali ya mtu ni kichwa chake mwenyewe siri ya mafanikio ni kufanya kazi.
Usitegeme kushinda vijiweni na kujipa matumaini kuwa Chadema wakichukuwa nchi watagawa pesa.
- Hujaiona hoja yangu kwamba Kiongozi ambaye haoni tatizo kuishi na mke wa mtu bila kumaliza taratibu za kisheria, hawezi kuwa kiongozi mzuri wa Taifa? Unaonaje hiyo?
Le Mutuz
Hahahaha.. huu wimbo ndio tunaoita Vioja. Unataka ujibiwe kwa hoja ipi hapa?
Kumbe kiboko yako ni Mzito Kabwela...kudadeki unenywea kama unashindiliwa kitu chenye ncha tamu!
Akili hizi mnazo magamba wenyewe kwa kusubiria kuwahonga wajumbe wa nyumba kumi vi-elfu kumi na vikanga kipindi cha uchaguzi,kwa taarifa yako tuna imani na serikali ya chadema itakayosimamia kodi zetu vizuri na kupambana na panya sio kusubiri na kusema hadharani nimeambiwa,nimesikia,nimefahamishwa!!Aibu gani hii mnatuletea nyie magamba?Vijana nawapa ushauri wa bure msidhani Chadema wapo kwa ajili ya kuwakwamua kimaisha siyo kweli.
Serikali ya mtu ni kichwa chake mwenyewe siri ya mafanikio ni kufanya kazi.
Usitegeme kushinda vijiweni na kujipa matumaini kuwa Chadema wakichukuwa nchi watagawa pesa.