ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,019
- 50,670
Comment zetu zimefutwa mahiKwani uzi umefutwa. Nimerudi naona notifications ile nazifungua sizioni tenaπββοΈ
I didn't, hisia zako tu.Then why are talking in a way to put other people down?
Hapana, wewe share tu.Really?
What's the meaning behind, "sasa unaelewa"? It's as if someone sharing their experiences is the source of belittling them?
Mnywa mbege au Cohen mnywa Visungura ?π€£Chapombe.
Una m-handle kijana vizuri sana ngoja afunguke πHapana, wewe share tu.
Mywa mbege kisa kusema wadada wa Jf kuwa ni pisi mbovu hapo ndipo aliyavagaa sasa anashambuliwa sana na WadadaWanasema mnywa mbege
Nimecheka sana π π πMywa mbege kisa kusema wadada wa Jf kuwa ni pisi mbovu hapo ndipo aliyavagaa sasa anashambuliwa sana na Wadada