ππ Nyanda !So una verify kuwa wewe ni mburura mtu mzima? Au?
Kujadili hoja? Au kuongea shit?ππ Nyanda !
Mbona unanipandishq cheo kutoka kwenye mjadala hadi kwenye matusi? Nimekuja kujadili hoja, sio kuomba cheti cha akili kutoka kwakoπ€£
ππ , So making fun of others is insanity, but calling someone mburura mtu mzima is intellectual discourse? Interesting! π€£Making fun of others is another form of insanity.
Kijana ukimsoma tu kwenye nyuzi zake,unajua tu,maisha aliyo yapitia hata kabla ya huu uzi,mimi nilikua najua tu kuna aina fulani ya maisha aliyo yapitia ndio yamemfikisha hapa alipo na hivyo alivyo,na nilisha mwambia kwenye moja ya comments zangu kwenye nyuzi zake,The Icebreaker weka neno, Kijana huwa anapenda nyuzi zake zitembee
Nimesema hivyo kwasababu ya ukweli wa maneno yako uliyo ya andika wewe mwenyewe..ππ , So making fun of others is insanity, but calling someone mburura mtu mzima is intellectual discourse? Interesting! π€£
Anyway, tuache personal attacks, turudi kwenye uzi wako ulouleta hapa
Binafsi, naweza kusema... Wewe ni wale watu wanapenda kuongea vitu without awareness.Kijana ukimsoma tu kwenye nyuzi zake,unajua tu,maisha aliyo yapitia hata kabla ya huu uzi,mimi nilikua najua tu kuna aina fulani ya maisha aliyo yapitia ndio yamemfikisha hapa alipo na hivyo alivyo,na nilisha mwambia kwenye moja ya comments zangu kwenye nyuzi zake,
Kijana anaonekana ni mpweke sana,JF ndio sehemu pekee ana engage na watu.
Hapo sawa.Never regret,
If its good,its wonderful,if its bad,its experience,
No amount of regret can change the past, and no amount of anxiety can change the future, but gratitude can change the present.
Pamoja na kwamba tunatumia ID fake ila kutumia ID fake hakufichi yaliyomo ndani ya nafsi zetu wala haiondoi uhalisia wa mtu,unajua fika jf ni tuna hold account na ID feki,
Umejeruhiwa.Sijui
For how you write as if you know me, ndo unapokosea...So,far I know you very well,
manyanza ninakukubali kinouma wewe ni mtu mwenye busara na skillz nzuri za uandishi keep it up broNyanda !ππ
Umeanza na regrets, trauma, addiction, depression, ukamalizia na lyrics za Tupac! Hii siyo weekend message tena, ni full documentary ya maisha yako yaliyopita π
But on a serious note, I respect the fact that pamoja na yote uliyopitia, bado upo hapa unasimulia story yako. Some battles are invisible, na si kila mtu anayekuwa kimya yuko okay
Asiione Mzee wa VAR hii π
that is life every one is fighting a battle wengine wanacheka lakini deep inside ni vita ambavyo Ni MUNGU tuu ndo tumaini kikubwa tuamini kuna MUNGU muweza wa yote atatushindiaFor how you write as if you know me, ndo unapokosea...
Sipingi watu mimi, ni wewe ndiye unaye dhani hivyo, ninacho pinga ni validity ya maandishi yao...
Mtu kuja na kusema kuwa ananifahamu based on my writings is insane... Ni jambo ambalo jamii isiyo elimika hufanya.
Mtu tutamjua based on kuishi naye, na kumjua physically.
In here, mtu anaweza kutumia hii platform as a place to heal, ila hayuko in that state physically, as someone above said, kuna watu wanabeba misalaba yao, ni vyema kuacha judgements na mocking. It is only bringing negative vibes na inaondoa core meaning behind the thread.
Amen, life begins when you understand that God is in controlthat is life every one is fighting a battle wengine wanacheka lakini deep inside ni vita ambavyo Ni MUNGU tuu ndo tumaini kikubwa tuamini kuna MUNGU muweza wa yote atatushindia
Huyo Chiwawa Sr ni nani ? embu mtaje hata kwa codeSasa ninakuelewa. Bado chiwawa Sr naye ipo siku ataelezea.