machiaveli
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 1,889
- 3,957
Naufaham mkuu, nilikua nataka mleta mada aende ndani kidogo, nijuavyo Mimi sio kiungo Cha lazima kwenye maandalizi ya mbege.
Mbege iliobora chanzo chake kikuu Ni ule uchanganyaji wa ndizi zilizo pikwa na maji. Pindi maji yakiwa kiasi kidogo mbege inayatarajiwa huwa bora sanaView attachment 1632178
Pamoja! Mkuu ila ninavyojua Mimi msesewe Ni kuongeza ukali wa pombe(uchungu) na sio alcoholic volume