Mapishi ya pilau

Mapishi ya pilau

LOTH HEMA

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2015
Posts
26,828
Reaction score
41,352
Nataka kupika pilau ila sijawahi kupika. Wabobezi wa mapishi hayo nahitaji ushauri wenu nifanyaje ili nipike pilau zuri. Ni mara ya kwanza nataka nipike chakula hicho pendwa, nahofia nisijepika madabudabu nikaishia kumwaga. Sitaki pilau bubu nataka pilau lenyewe hasa, naombeni msaada wenu wapishi werevu kabla sijanunua mahitaji
 
Ulifanikiwa mkuu? Tunaomba mrejesho Kama hautojali.
 
Back
Top Bottom