Jamani mimi nundu huipikia kwenye ndizi, kwenye supu au kuchoma kama mshkaki, ngoja nikiandaa ntakurushia picha uone mpendwa, But kwa ufupi nundu ni nyama ngumu so haihitaji haraka katika kuindaa mimi baada ya kuikatakata nailoweka kwenye tangawizi kwa dk kama 20 hivi then naiweka katikati ya ndizi ambazo nimeziandaa kwa ajili ya kupika so huwa sichemshi ili kutoa supu huiweka ikiwa mbichi,.sorry nina haraka kidogo but will be back nikupe recipe kidogo katika mojawapo ya ninavyoitumia.best of enjoyment!