Mapishi ya Kabichi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mapishi ya Kabichi

Discussion in 'JF Chef' started by ndetichia, Sep 29, 2011.

 1. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #1
  Sep 29, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  [h=3]Mapishi ya Kabichi[/h] [​IMG]
  Kabichi 1/2 kilo
  Nyanya ya kopo 1/2
  Kitunguu 1
  Curry powder 1/2 kijiko cha chai
  Chumvi
  Olive oil


  Matayarisho
  Kwanza kabisa bandua magada ya juu ya kabichi, kisha ioshe na uikaushe maji baaba ya hapo katakata kabichi (inapendeza zaidi kama ikikatwa nyembamba) kisha saga pamoja nyanya na kitunguu. Baada yahapo tia katika sufuria ya kupikia, ipike mpaka maji yote yatakapokauka kisha tia chumvi, curry powder na mafuta pika kwa muda kiasi kisha tia kabichi na upunguze moto. Pika mpaka kabishi itakapoiva kisha ipua na itakuwa tayari kwa kuliwa. Unaweza kuila kwa wali au ugali.

  Karibuni
   
 2. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #2
  Sep 14, 2012
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,936
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Asante.
   
 3. bluetooth

  bluetooth JF-Expert Member

  #3
  Sep 14, 2012
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 3,933
  Likes Received: 670
  Trophy Points: 280
  Mkuu ndetichia

  Cabbage inafanya kwa ladha na kitu kinaitwa cauliflower

  Je unajua mapishi mzuri ya mboga hii ya cauliflower
   
Loading...