Mapishi ya biriani

Mapishi ya biriani

LOTH HEMA

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2015
Posts
26,826
Reaction score
41,352
Awali kabisa sikujua chakula kinachoitwa biriani ila nilikuwa nasikia tu kuna chakula kinaitwa biriani. Kumbe nikaja kuambiwa kuwa nilishawahi kula kwenye sherehe na mikutano ya kiofisi. Nikaambiwa ni wali uliotiwa rangi rangi una nyama ya kuku na viungo fulanifulani hivi. Hotelini ni bei ghali kupata biriani na ni mara chache huandaliwa kwa wiki sio kila siku na mchele wake ni maalumu. Sasa nataka nijue maandilzi na mahitaji ya kupika biriani yanaandaliwa vipi. Wapishi wapevu naombeni maarifa yenu namna ya kupika biriani
 
Maneno yaliyotoka daslamu ambayo hadi sasa siyaelewi ni biriani, mpalange, kachori na kuna hili nililolisikia muda mrefu nikaja kujua kumbe ni skonsi iliyowekwa mbogamboga katikaki... Nayo si nyingine bali ni burger

Kuna chakula kingine kina jina la ajabu kwelikweli nimekisahau jina nilikiona kwa mpishi wa jamiiforum ndugu yetu Mwachiluwi
 
Maneno yaliyotoka daslamu ambayo hadi sasa siyaelewi ni biriani, mpalange, kachori na kuna hili nililolisikia muda mrefu nikaja kujua kumbe ni skonsi iliyowekwa mbogamboga katikaki... Nayo si nyingine bali ni pizza.

Ahahah kipi iko
 
Skonsi iliyowekwa nyama katikati inaitwa baga sio pizza ndugu.. pizza ni ile inayokua mifano wa chapati
 
Kwanza unaanza kukaanga vitungu kama unavyo kaanga chips mpaka viwe na rangi ya kuungua unavitoa unaweka pembeni

Unasaga nyanya nyanya ziwe nyingi sana
Uwe na maziwa
Af kuna kiungo cha birian ndani yake kuna jani
Binzari nyembamba
Mayai
Nyama kuku / mbuzi
Tomato pest

Madame B nisaidie kama kuna kitu nimesahau
 
Ee bwana sijui kutofautisha kati ya piza na Burger... Nilimaanisha hiki
30fee94df0b5f1fa346356faada59239.png
 
Kwanza unaanza kukaanga vitungu kama unavyo kaanga chips mpaka viwe na rangi ya kuungua unavitoa unaweka pembeni

Unasaga nyanya nyanya ziwe nyingi sana
Uwe na maziwa
Af kuna kiungo cha birian ndani yake kuna jani
Binzari nyembamba
Mayai
Nyama kuku / mbuzi
Tomato pest

Madame B nisaidie kama kuna kitu nimesahau
Hapo kwenye maziwa toa weka mtindi.
Hiko chenye jani ni bay leaf, na ndugu zake akina star anise na wengineo.
Kuna viazi (si lazima)
Napenda kupambia ghee (aina ya samli)
Kuna giligilani
Kuna mchele wa pishori au basmat rice (naona huu kwenye biryani ndio unanoga zaidi)
Sahv watu wamestaarabika maana hawaweki marangirangi.
Na vingine vingi maana biriani kila mtu na umaliziaji wake.

Ila kama una njaa ya kufa, heri upike wali au pilau maana rost la biriani tu kulipika tu ni masaa 4 bado hujaandaa viungo vyake🙌🙌🙌.

Mwachiluwi ....leo Jumamosi tunakula nini?
 
Hicho kiungo unachosema kina jani ndani yake ni Biryani masala.
0711F156-D3F0-4654-A1FA-F3932CB25F64.jpeg

Pia, ongezea:-
1. Kitunguu saumu
2. Tangawizi
3. Pilipili (Optional)
4. Mtindi (Sio lazima)
Kwa wale wapenzi wa nazi, unaweza kutia tui la nazi kuongeza ladha.

Mayai sio lazima.
 
Hapo kwenye maziwa toa weka mtindi.
Hiko chenye jani ni bay leaf, na ndugu zake akina star anise na wengineo.
Kuna viazi (si lazima)
Napenda kupambia ghee (aina ya samli)
Kuna giligilani
Kuna mchele wa pishori au basmat rice (naona huu kwenye biryani ndio unanoga zaidi)
Sahv watu wamestaarabika maana hawaweki marangirangi.
Na vingine vingi maana biriani kila mtu na umaliziaji wake.

Ila kama una njaa ya kufa, heri upike wali au pilau maana rost la biriani tu kulipika tu ni masaa 4 bado hujaandaa viungo vyake🙌🙌🙌.

Mwachiluwi ....leo Jumamosi tunakula nini?
Ongezea na Broccoli kidogo
 
Awali kabisa sikujua chakula kinachoitwa biriani ila nilikuwa nasikia tu kuna chakula kinaitwa biriani. Kumbe nikaja kuambiwa kuwa nilishawahi kula kwenye sherehe na mikutano ya kiofisi. Nikaambiwa ni wali uliotiwa rangi rangi una nyama ya kuku na viungo fulanifulani hivi. Hotelini ni bei ghali kupata biriani na ni mara chache huandaliwa kwa wiki sio kila siku na mchele wake ni maalumu. Sasa nataka nijue maandilzi na mahitaji ya kupika biriani yanaandaliwa vipi. Wapishi wapevu naombeni maarifa yenu namna ya kupika biriani
Nikujisumbua na mavyakula ya ovyo ovyo kama hayo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom