[emoji23] [emoji23] [emoji23] mtu kazoea kuletewa mezani AF unamshangaa kufanya hyo...bora hyo mwingine ungekuta na yy kaiva![]()
serious!!
halafu mbebezi kama huyu ndo katengeneza huo mkaa
![]()
je appetite ya kumfaidi itabaki constant?
hiyo siri hawaijui, mabinti wa earphone maskioni hatakuelewa, yupo radhi aunguze msosi kisa anachatiKuwa mpishi mzuri ni jambo linalokupa credit sana binti...kama hujui kupika nakushauri ujue kwa namna yoyote ile na kama unajua hakikisha una manjonjo kwa namna yoyote ile........the easiest way to a man's heart is through his stomach sasa wewe kaza fuvu utaishia kusingizia wadada wa kitanga wachawi
Halafu hapa wanasingizia eti oh wanaume hawaridhiki yaan wanafanya gross summarization tu...mie ntaachaje kuchepuka kama wewe hujui kupika..... tena napenda sana niwe na mpenzi wangu jikoni nipo kwa nyuma yake namsaidia kukoroga chuzi jikoni huku akinipa tips mbalimbali za mapishi....quite romantichiyo siri hawaijui, mabinti wa earphone maskioni hatakuelewa, yupo radhi aunguze msosi kisa anachati
hapo anakuwa na earphone halafu anakucheki kama uko mbali ajibu sms za vidumeHalafu hapa wanasingizia eti oh wanaume hawaridhiki yaan wanafanya gross summarization tu...mie ntaachaje kuchepuka kama wewe hujui kupika..... tena napenda sana niwe na mpenzi wangu jikoni nipo kwa nyuma yake namsaidia kukoroga chuzi jikoni huku akinipa tips mbalimbali za mapishi....quite romantic
Kwetu hawapo, labda tusubiri wanaohudhuria lebawapo kwenu??
Kwetu hawapo, labda tusubiri wanaohudhuria leba
Unaweza mpikia vizuri na akatoka na kwenda kula bata na vimada huko bar wakati kala chakula kizuri kabisa badala hata amchukue mkewe waende kutembea hapana anashiba vizuri kwa mkewe kisha kujaziliza bia na kimada, mapishi sio sabababu mbona wengine walioa wake wasio jua kupika anafundishwa mpaka anajua na mmewe lakini hawa kizazi cha laptops mmmm [emoji218] [emoji218] [emoji218] [emoji218]Si ndio nimemshangaa mleta thread..mwanaume hata ujue mapishi yote ya ndani na nje bado haridhiki
Nakweli kabisa mama ntilie ndiyo atakuwa kamalizaOa mama ntilie
Walize wapi tunapika mpaka vidole vinaota sugu lakini mara chakula sijui kina nini wakati kwao hata uji tu hauivi unakuwa mbichi lakini kwa mke sio kuchonga huko!Ni shida sana hawa watu we jipinde vyoote kwa raha ya nafsi yako na sio eti kidume kisichepuke, thubutuuu!!
Hilo neno sio nimpikie ili asichepuke kama nikunguru atabaki kuwa hivyo kazoe kula dampo ataenda tu kama ni njiwa atabaki kuwa njiwa, kwahiyo tunapika tu mule chakula kizuri basi kisha mnaenda kupumzikia kwa michepukowew pika tu kwasababu za kibinadamu na iwe hobby yako na c kumridhisha mwanaume kamwe hawaridhiki
Mwanzo inakuwaga hivyo hivyo mkiota mbawa mnakuwa kwale[emoji239] [emoji239] [emoji239]Halafu hapa wanasingizia eti oh wanaume hawaridhiki yaan wanafanya gross summarization tu...mie ntaachaje kuchepuka kama wewe hujui kupika..... tena napenda sana niwe na mpenzi wangu jikoni nipo kwa nyuma yake namsaidia kukoroga chuzi jikoni huku akinipa tips mbalimbali za mapishi....quite romantic
Hawaridhiki hata unapika huku unaungua midole ukiwa na salama tu huyo kashakimbilia kwa kimada, aaah wanaume sijui wanataka nini maana utaeasikia, Mara chura, Mara guu la bia, mara ujue kupika, mara usiwe gogo dah mrafi tafrani tuWalize wapi tunapika mpaka vidole vinaota sugu lakini mara chakula sijui kina nini wakati kwao hata uji tu hauivi unakuwa mbichi lakini kwa mke sio kuchonga huko!
Ni shida sana hawa watu we jipinde vyoote kwa raha ya nafsi yako na sio eti kidume kisichepuke, thubutuuu!!