Mapishi huongeza ubora wa mpenzi/mchumba

Mapishi huongeza ubora wa mpenzi/mchumba

Hawaridhiki hata unapika huku unaungua midole ukiwa na salama tu huyo kashakimbilia kwa kimada, aaah wanaume sijui wanataka nini maana utaeasikia, Mara chura, Mara guu la bia, mara ujue kupika, mara usiwe gogo dah mrafi tafrani tu
Unajiuliza wakati unamchumbia hukumuona kama mguu wa soda au no.9 au ulikuwa kipofu baba wewe?
 
Usicheke hivyo kepeace[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji8] [emoji8] [emoji8]
Sekunde 8 Halafu mauno yatokee wapi ni ngumu kutoa kwata aisee ndo feni limeanza kuzunguka Mara paaap tanesco wanakata
 
Sekunde 8 Halafu mauno yatokee wapi ni ngumu kutoa kwata aisee ndo feni limeanza kuzunguka Mara paaap tanesco wanakata
Hapo sasa labda kama siku hizi feni zinatumia maji ya chumvi
 
Sipiki chakula kizuri kumridhisha mwanaume napika chakula kizuri kwa ajili familia nzima.
 
Back
Top Bottom