Hawa majaji wa kimkakati aliowaleta mwendazake kwaajili ya KAZI MAALUM, ni vichekesho sana na aibu kwa CCM. Yaani wamejikita kutoa maamuzi kwa kutumia MAONI YAO (ambayo kimsingi ni MAONI YA CCM) badala ya kuzingatia matakwa ya kisheria, inafikirisha sana kwa namna mahakama zetu zilivyo WEKWA MFUKONI.